Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Huu uzi wako umenichekesha sana... Duuh, huu ni kiboko. Utakuwa sio uzi bali waya kabisa...
JF ni ya ma great thinkers... Tatizo lako wewe unaji associate na veeelazer ndio maana huwaoni wakitupia post humu...
Mkuu nisaidieni, hivi hizo DDDD huwa zinamaanisha nini? Tukirudi kwenye mada hata mimi sijawahi kuona mtu akiingia jf, mfano kwenye daladala utaona watu wakiwa fb, insta, whatsapp lakini sio jf, lakini ukija unakuta comments kibao
 
Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.

Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.

Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.

Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.

Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..

Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??

Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa

Aggghhh!!!
Mimi nakuaga kitandani mkuu
Nakomenti nikiwa usingizini
Mida ya kuota ndoto.
 
Social medias zina level..facebook inawatu wa level flan (watoto) istagram imejaa mabishoo..JF inagreat thinkers..kwahyo we bado unakua kimawazo..ukifika level flani itabidi uachane na FB na Insta..uwe Expert member wa JF
Kweli insta ni ya maji shoot
 
Social medias zina level..facebook inawatu wa level flan (watoto) istagram imejaa mabishoo..JF inagreat thinkers..kwahyo we bado unakua kimawazo..ukifika level flani itabidi uachane na FB na Insta..uwe Expert member wa JF
Umesahau twitter mkuu
 
Hahahah aisee we jamaa umeongea mawazo yang kabisa. Binafsi JF nilianza kuipenda bila kushawishiwa na mtu ni kama zali tu nikajikuta addict wa JF lakini chakushangaza ndugu, jamaa na marafiki zangu wote nikiwauliza kama wanapitaga humu hakuna ata mmoja mwenye mpango nayo. Alaf pia JF inavichwa kinoma natamani nikutane uso kwa macho na member kadhaa ila nahisi watakuwa feki
Mkuu kama mimi, Kuna simu fulani ya boss wangu ilikuwa inasumbua na memory ndogo, Sasa akawa anataka kuweka application ya whatsapp ikabidi nipunguze baadhi ya vitu, na kitu cha kwanza kukiondoa ilikuwa ni app ya JF, kwakweli alikasirika sana mimi nikawa nashangaa anasema bora ungeondoa vyote lakini sio jf, basi baadae ikabidi na mimi niingie huko jf niangalie kunani, toka kipindi hicho mwaka jana mwishoni mpaka leo nimekuwa addicted mkubwa na siku hizi sijui mambo ya Facebook
 
Halafu kuna jamaa yangu mmoja kajiunga juzi juzi jf huwa ni mtu wa kuropoka sana anataka nitajie jina nalotumia jf nimegoma kumwambia
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hahahahaaaaa.....jf liko ki-intelijensia zaid, most of members dont want their existence to be known
 
Mkuu kuna wakati unakaa kama dakika 5 ukirudi unakuta uzi mpya na reply kama 200, unajiuliza hawa watu wapo hapahapa tz?? Mbona hatuwaoniiiiii
Sasa hii dharau. Inamaana hapo mtaani kwenu tu ndio Tanzania au una satellite inayokuonesha watz woote wanachofanya? Maswali mengine upuuzi mtupu. May be nikuulize, wale wanaopost video/picha za utupu fb hua wanakuita uende ukaone wanavyopost???????????? JF A FORUM OF THE GREAT THINKERS not v-laza. Upo hapo
 
Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.

Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.

Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.

Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.

Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..

Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??

Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa

Aggghhh!!!
kinachonishangaza zaidi unakuta uzi umeanzishwa saa 9 usiku lakini baada ya nusu saa unakuta koment zaidi ya 50 views 800, hivi hamlaliii?? au nyie ni walinziiii [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] ??
 
Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.

Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.

Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.

Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.

Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..

Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??

Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa

Aggghhh!!!
ikiwa we ibilisi upo kila mahali na hutuon,kutakuwa na tatizo mahali
 
Maisha mtandao wa siri kijana.

Nahisi siku nikijua ID ya dem wangu ntakufa kwa pressure. Isije ikawa ni mmoja wa hawa ma shawry humu ndani wanao fukuziwa na mijibaba yenye uwezo.

Ntakisanua. [emoji23] [emoji23]
 
Sijakuele
Huwa nashangaa sana nikija kila jukwaa na kuta reply na views kibaooooooo.

Nikitazama marafiki zangu ninaosoma nao, wachizi maskani na ndugu zangu hakuna anayefuatilia JF.

Sikuwahi mfumania mtu akipost kitu humuuu lakini ukiingiaa unakuta reply kama 500. Nimewahi kumsaidia broo kazi yake ya Internat cafe kwa muda wa wiki Moja sijawahi ona mtu akiingia JF.

Nilijaribu kuwauliza washkaji na madem tuliokuwatunafanya field sehemu moja kama wanaujua huu mtandao wengi walikuwa hawaujui ina mmoja ndiye alisema yeye huwa anasomaga tu post ila hachangiiiiii.

Kademu kangu ndo juzi ninakaona kanaaanza kufatilia, nafikiri huyu ndiye atakuwa wa kwanzaaaa..

Mi nauliza nyie mliopo humu mpo wapi? Mna comments mkiwa uvunguni nisiwaoneeeeee?? Na huwa mnacomments saa ngapiiiiii??

Natamani kumuona angalau memba mmoja kwa macho yangu nijue na ka ID kakeee bhanaaaaaa

Aggghhh!!![/Q

Sijakuelewa, ulitaka kuwaona vp?
 
Hahaha dah! Mkuu kwani watu wako wa karibu ama waliokuzunguka huwa wanakuona wakati unachat JF? Sasa usishangae kwanini hutuoni

Hii ndio hoja ya msingi! Na pia ajue huwa hatuingii JF ili tuonekane, huwa tunaingia JF ili tusomeke!
 
Back
Top Bottom