Silabasi ya somo la Advanced Mathematics

Silabasi ya somo la Advanced Mathematics

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Habari zenu ndugu zzangu naomba msaada wa silabasi mpya inayotumika sasa ya somo tajwa hapo juu kwa mwenye nayo soft copy

Nimejaribu kutafuta mwenyewe nimeshindwa

Msaada tafadhali
 
Acha kulia lia,ume'google' kweli?,mbona mimi nime'google' sekunde tu nimepata.Unapo'google',google kwa spelling sahihi na maneno muhimu machache.

Hebu ingia (studentsgotz9.blogspot.in/2014/05/advanced-mathematics-form-six-syllabus.html?m=1).Hii utaipata katika blog ya Mwl. JAPHET MASATU.
 
Back
Top Bottom