Nyabutoro
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 1,342
- 1,596
Fanya kwa mkeo tu, nje ya hapo utapata fangasi mdomoni ndio utajuta kuzaliwaBora nizidi kuonekana wa mkoani tu,sina hamu ya chakula leo.
Medula oblangata hadi sasa hivi imepalarize kabisa na ulimi umepoteza test zote(tamu,chachu na chungu).Leo nimekutana na mchongoma ambao umenimwagia tindikali ya likaboriki acid.
Sijui nikamweleze vipi daktar juu ya huu ulimi kupoteza ladha zake,akina dada chondechonde mtatuangamiza