GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
wawa mzuri ila kwa mijamaa ya amapiano kenedy Juma anafaa zaidiBila Wawa master pass ruler
Usimpangie kikosi Kocha anaangalia nani yupo kwenye form kwenye mazoezi1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
Hajui Kuruka na ni mzito sana Kugeuka.Bila Wawa master pass ruler
Ni Unsung Hero kwa Timu kwa Kukaba.4. Kennedy Juma .....naunga mkono hapaa
Umenena vyema Wawa Kesho hatufai.wawa mzuri ila kwa mijamaa ya amapiano kenedy Juma anafaa zaidi
Pumbavu nimempangia au nimeshauri?Usimpangie kikosi Kocha anaangalia nani yupo kwenye form kwenye mazoezi
jamaa akiwa fitii anaifia timu yule ... kuna ile mechi ya yanga na simba morrison anafunga goli moja ailiingizwa dk za mwishoni ila alipambana sana , kila sehemu unamuonaNi Unsung Hero kwa Timu kwa Kukaba.
na mkude kumchezesha na lwanga hapana kwa kesho ...mzamiru weka ndaniUmenena vyema Wawa Kesho hatufai.
Ninamkubali tu tena kuliko Wawa wenu.jamaa akiwa fitii anaifia timu yule ... kuna ile mechi ya yanga na simba morrison anafunga goli moja ailiingizwa dk za mwishoni ila alipambana sana , kila sehemu unamuona
Sorry. Simba kesho anakufa tena 4G. Nawasihi nyie mikia mmzuie Manara kwenda kwa mkapa kesho, la sivyo tutampoteza1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein....
wakati tushaanza kuloga geti zoteSorry. Simba kesho anakufa tena 4G. Nawasihi nyie mikia mmzuie Manara kwenda kwa mkapa kesho, la sivyo tutampoteza
siyo geti tu anga lote ka mbezi beach leo limechafuka usiku wanachukuliwaa leo na wachawi kwenda kufanyishwa kazi kiwanda cha wazo hillwakati tushaanza kuloga geti zote
[emoji23][emoji23][emoji23] Nyie Wazeni Ligi Tu Kwasasa Haina Haja Ya Kujitutumua.1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein,...