Silazimishi (Siwalazimishi) ila kwa Kikosi hiki kama Kikipangwa Kesho huenda Malaika wote na Mungu nae akawa upande Wetu Simba SC

nani kakuambia kaizer wanyonge mdomoni? kwa taarifa yako hakuna wapiga mdomo kama hao south africa hii mechi yetu kwenye social media inaitwa battle of loudspeakers hata twitter kule CAF wana enjoy sana ku ipost kila wakati inapata comments nyingi sana ,ila kesho wanakufa 6-0 leo usiku saa tano wanachukuliwa kimazingara kwenda kufanyishwa kazi kiwanda cha wazo hill cement wasaidie kukuza uchumi wa nchi kwanza
 
Tulia kaka sio kila comment itakumbukwa kishujaa nyingine hukumbukwa kwa kuchambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…