Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Inashangaza sana kusikia mtu anaengaliwa na jamii akitoa maneno mbofu'mbofu hivi.:confused3:
nilikuwa na Interview na Ray C,banaba,banana,Pipi na ay kuhusu MAPENZI YA JINSIA MOJA
RAY C Yeye alisema hivi??
Mimi kama ray c naona ni sawa Tu coz mtu kama hellen yeye ni Famous na anamke yule tena kamwoa mwanamke mwenzake so its a free world na kila mtu anafanya anavyotaka kama watu wamependana wana jinsia moja acha tu wawe wapenzi ..
Kila mtu anaruhusiwa kuwa na maoni yampendezayo ila je, kitu kikifanywa na mtu Famous hata kama ni kibaya ndio kimehalalishwa???:eyeroll2:
Source: Diva255