SILEBRITI wetu...zaidi ya unavyowajua!

SILEBRITI wetu...zaidi ya unavyowajua!

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Inashangaza sana kusikia mtu anaengaliwa na jamii akitoa maneno mbofu'mbofu hivi.:confused3:
nilikuwa na Interview na Ray C,banaba,banana,Pipi na ay kuhusu MAPENZI YA JINSIA MOJA

RAY C Yeye alisema hivi??

Mimi kama ray c naona ni sawa Tu coz mtu kama hellen yeye ni Famous na anamke yule tena kamwoa mwanamke mwenzake so its a free world na kila mtu anafanya anavyotaka kama watu wamependana wana jinsia moja acha tu wawe wapenzi ..

Kila mtu anaruhusiwa kuwa na maoni yampendezayo ila je, kitu kikifanywa na mtu Famous hata kama ni kibaya ndio kimehalalishwa???:eyeroll2:

Source: Diva255
 
Ray C mie sishangai maneno na matendo yake vinamwakilisha .......
 
Sasa kama anatoa Tigo ataacha kusema ivyo? maana hakuna tofauti hapo!!
 
Duhh!! KIMEY umekwenda mbali. Kwa yeye ukiangali staili ya maisha yake alikopitia ni kama alishapractice vyote hivyo ndio maana anaona sawa tu. Hivi utashangaa nini kama unamhoji TEJA ladha ya bangi akakuambia ni tamu hakuna mfano?????
 
Akili ya selebriti wa bongo, changanya na ya kwako!
Tatizo shule walikimbia.
 
RAY C Yeye alisema hivi??

Mimi kama ray c naona ni sawa Tu coz mtu kama hellen yeye ni Famous na anamke yule tena kamwoa mwanamke mwenzake so its a free world na kila mtu anafanya anavyotaka kama watu wamependana wana jinsia moja acha tu wawe wapenzi ..

WAANZE NA TAFSIRI YA NENO NDOA, AMBAYO IPO SAWA KWA LUGHA ZOTE DUNIANI . BAADA YA HAPO WATULETEE NENO LAO LINALOWAKILISHA HILO TENDO LAO,LA KULAMBANA KULE KUSIKO,NA HUKU WENGINE WAKISUKUMA NA KULE KWENYE NJIA YA MAJI TAKA,.PAMOJA NA .NA TAFSIRI YA MUUNGANO WA WATU WA JAMII HIYO.

MATAAHIRA WANAZIDI KUWA WENGI DUNIANI,..duh
 
What is there to celebrate about this so called celebrities? Upuuzi mtupu
 
aliyekwambia RC anafanya ivyo ni nani, mbona unamdhalilisha dadangu?
kama ningekuwa mimi ningetumia nafasi hii kumpa nasaha dada kwa ujanja ujanja na kumfundisha sana njia za Mungu
ili aache uchafu huo

kama wewe ni dada yako unadhani angekuja kukupa taarifa kuwa, kaka mimi huwa nafnya hivi?
 
jamani mambo ya kuita starehe zetu uchafu tafadhaliiii...tutaonana wabaya sasa ivi hapa oooh.test uone ladha yake halafu uone kama utaita uchafu...
 
Back
Top Bottom