Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

Zee jinga tu, kutwa kubwabwaja, Limejaa NJAA
 
Mayalla bhana ...
 
Duuuh, ni mwaka wa uchaguzi, ajali nyingi zaidi barabarani

Mungu atulinde
 
Chahali ndio alikuwa akijiita Kigogo 2014 ¿???
 
Ninaweza kuwa mdogo kiupeo na nisiyeyajua mengi. Kwa heshima na taadhima nawaomba tumalize kwanza la CDM haya ya kale ndo myaanike hadharani.

NB: Ulaya kugumu sana kama huna kazi ya kueleweka na ya uhakika.

Samahani sana na Asanteni
 
Pasco unaweka hadi mabandiko ya kuji brand mtu unashindwa kujua unapigia chapuo nini! Sasa mabandiko ya 2015 yanahusika vipi? Unaji brand sana
Mkuu Jisamu, G Sam , mimi ni mtu mwenye security conscious, nimekaa newsroom 30+ years hivyo kuna vitu tunavijua kuhusu viongozi wetu kuliko wenyewe wanavyojijua!. Hivyo inapotokea mtu ambae sie, anaibuliwa na wale jamaa zetu na nikaelezwa sababu, namna pekee ya kulisaidia taifa ni kuwaeleza hao hao jamaa zetu kuwa huyu mtu sio!.
Very unfortunately hakuna cha vetting yoyote ya maana, sio vetting chochote sio vetting lolote!, Hivyo bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli lilikuwa na securiy alert kuwa huyu mtu sio!. Nikaeleza kwa nini sio!, nikaeleza kama akiwa, what will happen, amini nakuambia kama YEYE asingeingilia kati, ilikuwa ni “Atake Asitake!”.

Baada ya JPM kupitishwa, angalizo langu likawa by passed by events hivyo kilichobaki ni kumpa tuu ushirikiano!. Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Mimi siji brand, bali naweka mabandiko darasa!.

P
 
Udikteta wake ni nini?
 
😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…