Mkuu Mnangu,@mnanguliti,ni kweli,ila kuna vitu ni yeye anataka na anapanga,na kuna vitu sii yeye anataka ama anapanga,bali anapangiwa na ma strategist wake,
Kitu ambacho yeye amekitaka ni kwa vile ameingia kwa kudra tuu,angependa 2025 Watanzania tuchague mwanamke,kitu ambacho hata mimi nimeunga mkono
Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! kwa vile baadae nilikuja kuambiwa
HII kitu, mastrategists wake hawaijui,wao wamemuhakikishia Mama 2025 ni wewe tuu, na yeye akaanza kujitangaza
Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli! hivyo tumesaidia
Hili la Mbowe kuna sehemu ni la Rais Samia na kuna sehemu ni la ma strategist wake。 La Rais Samia ni mtu mwenye upendo wa dhati na huruma ya kweli,ni mpenda haki na mtenda haki,kama nilivyo mwelezea hapa
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na hapa
Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... hivyo Rais Samia ni mtu rahimu sana, mwenye upendo wa dhati na huruma, hapendi mtu ateseke, au atendewe kinyume cha haki,hivyo kwenye ile kesi ya Mbowe,watu wake wakamweleza ukweli, ukijumlisha na kelele zetu tukiwemo sisi jf
https://www.jamiiforums.com/threads...bila-kuombwa-msamaha-au-akomae-naye.1941083/,Rais Samia akaingia huruma,akamsamehe Mbowe na kuifuta ile kesi,purerly on humanitarian grounds,na pia ikatokea Rais Samia she is a human being,anampenda Mbowe hata Lissu,baada ya kumuachia,akanuita Ikulu, kule Mbowe akamshukuru mama na mama kumuahidi Mbowe kila aina ya msaada,na shida kubwa ya Chadema ni pesa, mama aliwapa,hivyo Chadema mambo yakaanza kwenda, wakarudishiwa ruzuku na kukubaliana kugawana nusu mkate na CCM!。Lissu alipotua,akahudhuria kikao kimoja tuu cha maridhiano,akashtukia dili!,ndipo akaanza kuropoka na kupayuka huku akiwatukana wenzake kwa mlango wa nyuma kwa kuuliza kama wanaakili,
Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability? 。Makombora ya Lissu yalipozidi,ikambidi Mbowe naye ajikoshe,
Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!
hili la mgombea wa Chadema 2025 sio la Rais Samia,hili ni la strategists,kwa vile mgombea urais wa CCM,kwa 2025 ni Rais Samia,kupitia mserereko wa CCM,ili ashinde kwa kishindo,ni lazima mgombea wa upinzani awe mtu soft soft,Mbowe anafiti sana!hata mimi hili niliwashauri
Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...