Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Wewe kaka, kijana wangu wa kwanza yupo Makerere na wengine wadogo wapo ST Constantine.Bibie nakuchukuliaga Mchumba tu Kumbe Bi.Mkubwa kabisa jamani.
Eeh bhana weeh👀
Aliokoka, akawa anaswali kwa mChungaji Rwakatare pale mikocheni B na baadae akarudi nyuma baadae akaacha wokovu na shetani akapita naye na sasa amerudi wak Yesu.Ehe hapo mzee rwegasira kilikuja kukumkuta nini badaye
Ova
Mhhh Hii si ya kukosa.Wewe kaka, kijana wangu wa kwanza yupo Makerere na wengine wadogo wapo ST Constantine.
Yes, kafara ya kumsomesha mwanae Marekani na jamaa karudi sasa hivi ana yard ya Magari.Rwegasira si ndo huyu mzee mtata ambae nasikiaga alimtoa kafara mwanae?
😂😂😂enzi hizo nauli ya daladala ni sh 150,
band za mnanda kama vile jaguar au wanyamwezi family, wakipiga show hapo. wateja wao wengi kama co wote ni wale masela nunda, mtoto wa mama hizo show hauziwezi
bange, gongo na unga ndo mahala pake, asubuhi kunapopambazuka, wanapofanya usafi, ni mwendo wa vipisi vya bange, sigara, chupa za gongo na vinaylon vya unga.
halafu nenda kaulize kaunta, jana mmeuza kreti ngapi? hapo ndipo utakapochoka
Ardhi Ilikuwa nafikiri sio ya Shirima Bali Mzee Mmoja anaitwa Makoi kama kumbukumbu zangu ziko sawa.Hapo Kwa sasa Tunaendelea Kubamba na Dance Club Hapo Mwenge Sam Nujoma..Aliokoka, akawa anaswali kwa mChungaji Rwakatare pale mikocheni B na baadae akarudi nyuma baadae akaacha wokovu na shetani akapita naye na sasa amerudi wak Yesu.
Ukumbi ulivunjwa na jeshi baada ya migogoro usisuluhishika kwa vile huyo muhaya jengo lilikuwa lake,ardhi ya mchaga Mmoja anaitwa shirima,naomba niishike hapo kwa sababu rwegasira amekimbilia kwa yesu
Makoi huyu wa Mwika Hotel ya Sinza na kumbi za best choice? Huyu Makoi mchaga tajiri hashughuliki na vitu vidogo na hanaga kashfa, katulia kariakoo anapandisha tu maghorofa.Ardhi Ilikuwa nafikiri sio ya Shirima Bali Mzee Mmoja anaitwa Makoi kama kumbukumbu zangu ziko sawa.Hapo Kwa sasa Tunaendelea Kubamba na Dance Club Hapo Mwenge Sam Nujoma..
Nakumbuka enzi zile kila Ijumaa,Faculty Day bonanza,wanavyuo wote wa Dar wanasombwa na mabasi bure wanaletwa New Silent Inn Mwenge.Kiingilio buku,anaanza DJ Fast Eddy kisha kwenye mida ya tano hivi wanapanda Diamond Sound Band "Ikibinda Nkoi".Wakishuka jukwaani Fast Eddy anamalizia show.Nawakumbuka baadhi yao wana Ikibinda Nkoi:
Ellyston Angai - solo guitar - band leader
Elly Chinyama - solo guitar/rythym guitar
Adolph Mbinga - solo guitar
Saido - rythym guitar
Gabby Katanga - Drums
Kessy Kitindi - Drums
Jaji Jumanne "Jojo" - bass guitar
MCD - Tumba
Motoo - Tumba
Andrew Sekidia - Keyboards
Zola Ndonga - Vocals
Balusi Canta - Vocals
Rogers Muzungu - Vocals
Germa Kissa - Vocals
Mackay Fanta - Vocals
Richard Mangustino - Vocals
Alain Mulumba Kashama - rapper
Livason Hassan Sultan - rapper
Anicet Petelo - rapper
Halima Abeid "Mama Lao" - stage show
Diana Aston Villa - stage show
Lilian Internet - stage show
Elly Longomba - stage show
Kamuke Sukari - stage show
Janet Jackson Isinike - stage show
Salum Pongwe - Sound engineer
Huyu Rwegasira alikuwa na Silent in na diamond sound then Feliacian Muta yeye alikuwa na FM recording studio akianzia MWANZA then kinondoni Studio. FM studio 55. ndiye boss wa Saida Kaloli
Nakumbuka watoto wa kike wengi walipata mimba
kapotea sana, hawa vijana walikula starehe sana kinondoni Studio na Mwananyamala na waliondoka na Ngwengwe !Keyboard Andrew Sekidea...Huyu Mwamba alihamiaga Twanga Pepeta ....sijui bado yupo au ameshakufa???
Hao wanenguaji wote wameshafukiwa chini ya mchanga
Diana Astonvila alijitangaza kabisa kuwa anao na akataja na orodha ya aliotembea nao...inasikitisha sanakapotea sana, hawa vijana walikula starehe sana kinondoni Studio na Mwananyamala na waliondoka na Ngwengwe !