Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
-
- #21
Mwananyamala Komakoma walipuputika,watu walizika mtaa kwa mtaa.Diana Astonvila alijitangaza kabisa kuwa anao na akataja na orodha ya aliotembea nao...inasikitisha sana
I was two years au 1.5Nakumbuka mwaka 1987 alikujaga Mbilia Bel hapo Silent Inn.
Ilikuwa concert moja kabambe sana.
π.
Kipindi hicho kumbe ulikua hukai kizimkazi?Hapo wengine tulikuwa tunasoma kwenye magazeti kuhusu hiyo Silent Inn. Kiukweli bila kuja chuo, ingechukua miaka mingi sana kufika Dar. Mwisho wangu ilikuwa Chalinze wakati naenda shule Mkwawa Iringa.. nilikuwa naishia kuona kibao cha DAR ES SALAAM wakati basi la Hood from Arusha likikata kona.
Napita sana sam nujoma Ila dance sijawahi ingia hapoBarabara ilipotanuliwa
Wakapita naye,ilisemekana alikuwa anamuunga mkono lyatonga π
Sema pale tumekula pipi bana
Ova
Banza unga tu ulimuaribuKatika lile goma la elimu ya mjinga, banza kuna sauti aliitoa, Eliiii chinyama... msimamishe msimamishe aone.. alicharaza gita la hatari, moja kati ya ngoma kali zaidii kwangu kutokea.
Adolph mbinga a.k.a CHINGA ONE.. apumzike kwa amani kazi alizozifanya pale twanga pepeta zinajieleza.
Gaabby katanga r i p
Hivi mackay fanyta yupo hai, diana astovila, mwendo wa meng'enyu meng'enyu tu mwnanagu
Kuna goma moja MCD alipiga tumba la hatari, inaanza kwa ali choki kwa kusema MCD Γ¬iii
Katika wanamuziki wa dansi wa kizazi kipya, sikuwahi kuona mwenye kipaji hatari kuzidi banza, banza alikuwa anajua, banza alikuwa fundi.. mtaalamu wa kutengeneza muziki mzuri..Banza unga tu ulimuaribu
Nilipokuwa mdau wa twanga nlimshauri sana aise aachane na madude yale
Yeye na aisha madinda
Aise umenikumbusha mbali sanaaa sanaaaa
Show zao jinsi zilivyokuwa zinajaza pale mango aiseee
Hapo mzee mzima nipo kaunta napiga beer zangu
Kaunta imejaaa mwendo kukanyagana tu
Ova
alikuwa anamuunga mkono lyatonga π
Sema pale tumekula pipi bana
Ova
Dah haya banaπBarabara ilipotanuliwa
Wakapita naye,ilisemekana alikuwa anamuunga mkono lyatonga π
Sema pale tumekula pipi bana
Ova
Alikuwa mtunzi mahiri sanaKatika wanamuziki wa dansi wa kizazi kipya, sikuwahi kuona mwenye kipaji hatari kuzidi banza, banza alikuwa anajua, banza alikuwa fundi.. mtaalamu wa kutengeneza muziki mzuri..
Pale kwenye unga alifeli sana..
Mtu pesa, kumekucha, aungurumapo simba, mtaji wa maskini, mwenye kwenu kwaheri, sweet baby etc ... ni ngoma zitakazoishi vizazi na vizazi..
Ile mtu pesa pekee yake, inafaa kuwa namba 1,2,3 kwa ngoma za dansi za kizazi kile.
Ndipo ilipopatikana story ya wahaya kuuza nyapu ila ukweli ulianzia kwa hawa wanayankole ambao kiuhalisia sio wahaya ila ni wenyeji wa UGANDA ila lugha yao inaendana kabisa na kihaya na mwishowe jina baya likawapata kweli dada zangu wa kihaya nao wakaanza kuuza nyapu kweli .Wewe mwenyeji wa Mjini. Wale Wanaynkole ndio walikuja kumwagwa pale Mkabala na Mwananyamala Hospital . Sasa hvi wapo watoto wao wanauza kama kawaida ila hizi ARV zimeaidia sana.
Watu maarufu wengi wenye vijipesa vyao wengi mzee lyatonga aliwaponza mnoBarabara ilipotanuliwa
Wakapita naye,ilisemekana alikuwa anamuunga mkono lyatonga π
Sema pale tumekula pipi bana
Ova
Wakitoka hapo tunawafata da west park tbt dahKatika wanamuziki wa dansi wa kizazi kipya, sikuwahi kuona mwenye kipaji hatari kuzidi banza, banza alikuwa anajua, banza alikuwa fundi.. mtaalamu wa kutengeneza muziki mzuri..
Pale kwenye unga alifeli sana..
Mtu pesa, kumekucha, aungurumapo simba, mtaji wa maskini, mwenye kwenu kwaheri, sweet baby etc ... ni ngoma zitakazoishi vizazi na vizazi..
Ile mtu pesa pekee yake, inafaa kuwa namba 1,2,3 kwa ngoma za dansi za kizazi kile.
SanaWatu maarufu wengi wenye vijipesa vyao wengi mzee lyatonga aliwaponza mno
Bila kusahau mango gardenWakitoka hapo tunawafata da west park tbt dah
Twanga ilituingiaaa bana π
Burdan zamani sahv kelele tu
Ova