Silent Inn Mwenge: Starehe za Dar miaka ya 1990-kwa Freddy Rwegasira!

Alikuwa mpiga maji mzuri

Ova
 
Hao sio wazee wa ".....Kimalu malu......".
 
Msafiri Diouf yupo!!?
 
Ndiyo ukweli wenyewe huo
 
Lilian Internet
Diana Aston Villa
Asha Marinda

MUNGU awapunguzie madhira ya KABURI awaweke mahala pema peponi...walikuwa wanajitafutia riziki kuhudumia familia zao
 
Lilian Internet
Diana Aston Villa
Asha Marinda

MUNGU awapunguzie madhira ya KABURI awaweke mahala pema peponi...walikuwa wanajitafutia riziki kuhudumia familia zao
Riziki ni kuimba na kucheza lakini "si kuuza kisambusa".
MWISHO:- Baada ya kifo ni hukumu na "Mungu hapangiwi cha kufanya anapofanya mavuno".

Hii misemo ya kupunguziana maumivu ndio yanasababisha watu wanafanya uovu wakijua wakifa wataombewa waende mbinguni!
 
MCDiiiiiiiiiiiii Renalda mtoto wa Chang'ombe. Kila nikisikia hii sauti namkumbuka mtu anayetwaja ambaye alikuwa mpiga tumba maarafu wa twanga pepeta MCD (RIP). Jamaa alianza kama mcheza sarakasi, mcheza mpira mpaka kuja kuibuka kuwa mpiga tumba maarufu Tanzania.
 
RIP
Aisha madinda hakika ulinisha kwa tabasamu lako

Aisha Marinda muda wote alikuwa anatabasamu na hilo shape lake lilikuwa linapagawisha Sana...Kila Jumapili saa 8 Mchana nipo Leaders Club kupata burudani ya Twanga Pepeta lakini aliyekuwa ananipeleka pale alikuwa ni kumuona Aisha Madinda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…