Aisha Marinda muda wote alikuwa anatabasamu na hilo shape lake lilikuwa linapagawisha Sana...Kila Jumapili saa 8 Mchana nipo Leaders Club kupata burudani ya Twanga Pepeta lakini aliyekuwa ananipeleka pale alikuwa ni kumuona Aisha Madinda tu
Makoi huyu wa Mwika Hotel ya Sinza na kumbi za best choice? Huyu Makoi mchaga tajiri hashughuliki na vitu vidogo na hanaga kashfa, katulia kariakoo anapandisha tu maghorofa.