Silinde ataja umri wake hadharani

Silinde ataja umri wake hadharani

Tatizo sio umri amelifanyia nini taifa? Yaani ndoto yake ya kukua kisiasa imefia akiwa bwana mdogo at 35 wenzake walionunuliwa kama kina lipumba walinunuliwa wakiwa na 60s.
 
Nakumbuka kwa mara ya kwanza anagombea pale TDM mwaka 2010 alisema ana miaka 24..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Ukiona mtu anapenda kujisifia yeye mdogo basi tilia shaka umri wake.. KIKEKE ana tatizo hilo pia kila siku anadai ana miaka 30 .. hata asipoulizwa atatafuta namna tu ili ataje miaka yake ..
 
Nakumbuka kwa mara ya kwanza anagombea pale TDM mwaka 2010 alisema ana miaka 24..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
siku anawapongeza mawakala wake alisema yeye ndio ataweka rekodi ya mbunge mdogo zaidi wa kuchaguliwa, at 26!
 
Ukiona mtu anapenda kujisifia yeye mdogo basi tilia shaka umri wake.. KIKEKE ana tatizo hilo pia kila siku anadai ana miaka 30 .. hata asipoulizwa atatafuta namna tu ili ataje miaka yake ..
mkuu..kikeke sio kwamba anakimbilia 55?ila sishangai mbona wema ana 18 bado?sijui kwa nin wabongo wanapenda kujidogesha..
 
Back
Top Bottom