Silioni pengo la Niyonzima Yanga

Silioni pengo la Niyonzima Yanga

Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna
baada ya hapo zifuatilie mechi za yanga ambazo amekosekana Msuva
halafu urudi hapa utueleze.
Anayeliona ni Mkwassa sio wewe mbumbumbu, na ndio maana Mkwassa akamfuatilia sana mwisho akatoa taarifa wamekwama kuafikiana bei.
 
Mkuu una wivu mbaya sana,btw niko zanzibar bado kwenye honeymoon ya kusheherekea ubingwa,nikirudi tutajadiliana vizuri.
Bado sioni ubingwa wako unakusaidije hahafu ukisema niyonzma hajaacha pengo cdhan kama unajua mpira ama ni shabiki kama ni shabiki uko sahihi.
 
Fungua thread nyingine Mkuu, kisha ndio tuanze kuongelea ubingwa. Mbona nyie vyura wagumu kuelewa hii thread inamhusu Niyonzima(Fundi) halafu wewe unataka tuongelee ubingwa.
Pogba alinunuliwa kwa Pesa nyingi kawapa Man U ubingwa..Football its all about team work not individual skills..
 
Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna
baada ya hapo zifuatilie mechi za yanga ambazo amekosekana Msuva
halafu urudi hapa utueleze.
Okei, na msuva tunabeba, una mwingine??
 
Niyonzima alikuwa na kiwango chajuu ktk msimu Wa 1na wa2,baada ya hapo yanga iliendelea naye kwa sabb ya jina tu. Ndo mana alikuwa anatolewa kutoka no yake no8 kwenda no zingine pia alikuwa anachezeshwa kinguvu kwa kuwa alikuwa analipwa pesa nyingi la sivyo angeozea benchi...binafsi nimefurahia kuondoka kwake,ni mzigo
 
Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna
baada ya hapo zifuatilie mechi za yanga ambazo amekosekana Msuva
halafu urudi hapa utueleze.

Faida Kuu za Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ni kama zifuatazo:
  1. Anachezesha timu anavyotaka
  2. Anaamua ni muda gani timu ishinde
  3. Anaburudisha hivyo Mtazamaji huwezi kujutia Kiingilio chako
  4. Ana pasi za maudhi na mateso ambazo huwasababishia wanaomkaba kuumwa nyongo na hata kujamba hovyo wawapo Uwanjani
  5. Ana pasi zinazozungumza Kitaalam zinaitwa ' telling passes '
  6. Ni mnyumbulifu ( flexible ) sana kitu ambacho ni faida kubwa kwa Timu hasa kwa nafasi yake ya Kiungo
  7. Uwepo wake tu Uwanjani tayari mna dalili za ushindi kwani hata Yeye ni mshindi pia awapo Uwanjani
Nasubiri ' Mpuuzi ' Ibrahim Ajib asaini rasmi Yanga FC kisha nije nikupe ' Hasara ' zake kama Mchezaji na kwa Timu anayoichezea pia.
 
Huwezi kuliona kwa sasa unajifariji tuu!? Ngoja ligi ianze ukishatobolewa 7 -0 na Lunyasi then akili itakurudia na kuliona pengo lake
IMG_20170520_210528.jpg
 
angekuwa straika sawa lakini niyonzima amechuja jamani kile kinachoachwa na Yanga angalieni mara mbilimbili nyie matopeni fc aka rufaa team ,ila mlimwacha Tambwe anawaliza,huyo okwi hana mpya ,yetu macho
 
Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna
baada ya hapo zifuatilie mechi za yanga ambazo amekosekana Msuva
halafu urudi hapa utueleze.
Mkuu pengo lipo tu. Ningekubaliana nawe kama ungefuata falsafa ya malenga Shaaban Robert. Yeye alipata kusema kwenye kitabu chake cha Wasifu wa Siti Bint Saad (akizungumzia kifo cha manju huyo wa Taarab) kwamba pengo la jino moja haliziwii kinywa kutafuna. Vivyo hivyo kwa pengo la Niyonzima ndani ya Yanga.
 
Faida Kuu za Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ni kama zifuatazo:
  1. Anachezesha timu anavyotaka
  2. Anaamua ni muda gani timu ishinde
  3. Anaburudisha hivyo Mtazamaji huwezi kujutia Kiingilio chako
  4. Ana pasi za maudhi na mateso ambazo huwasababishia wanaomkaba kuumwa nyongo na hata kujamba hovyo wawapo Uwanjani
  5. Ana pasi zinazozungumza Kitaalam zinaitwa ' telling passes '
  6. Ni mnyumbulifu ( flexible ) sana kitu ambacho ni faida kubwa kwa Timu hasa kwa nafasi yake ya Kiungo
  7. Uwepo wake tu Uwanjani tayari mna dalili za ushindi kwani hata Yeye ni mshindi pia awapo Uwanjani
Nasubiri ' Mpuuzi ' Ibrahim Ajib asaini rasmi Yanga FC kisha nije nikupe ' Hasara ' zake kama Mchezaji na kwa Timu anayoichezea pia.
Kwa hiyo wachezaji wa Rufaa a.k.a FIFA FC walishawahi kujamba kutoka na Paso za maudhi za niyo?
 
Aisee muulize huyo jamaa na wenzie wa kule mchangani! Kama ni aibu katika soka hilo ni tatizo la Taifa zima! Wamesahau ile aibu waliyotuletea toka kwa Liboro!
Kwetu Yanga lilikuwa bonge la shangwe na ile style ya kuupaka mafuta mkono mmoja, karibuni mikia mje mtupatie burudani nyingine kama ya Libolo.
 
Niyonzima alikuwa fundi wa anao anao ila si matokeo uwanjani kwahiyo sioni pengo lake ktk team.
 
Hatuna Fadhil Niyonzima. Bado anahitajika Yanga.
1: Kapteni mzuri sana uwanjani. (Anamsaidia mwl kuongoza wachezaji uwanjani)
2: Pasi za mwisho na krosi. Pia deadballs.
3: Mzoefu kubadilisha aina ya mchezo ( plan B)
MAPUNGUFU
1: HARUNA hakabi
2: Umri hawezi kucheza 90 kwa kasi ile ile
3: Anacheza na jukwaa.
Apewe mkataba mwaka mmoja ,wakati mwl akimtengeneza kiungo mbadala ( Zulu,Mahadhi,Makapu)
 
Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna
baada ya hapo zifuatilie mechi za yanga ambazo amekosekana Msuva
halafu urudi hapa utueleze.
Hulioni pengo ila haruna alikuwa first eleven ya yanga sasa pengo Hulioni vipi ni tz pekee maajabu hayaishi kila uchao radar pesa ilipigwa tukarudishiwa ila kwa upande wetu wezi hawajapitikana mpaka leo
 
Back
Top Bottom