valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
anzisha maada tu yakuomba ushauri....! hee hee heee! mfano mzuri anzisha maada inayosema 'mkewangu ametoka nje ya ndoa naombeni ushauri' ushauri utaoupata humo eeeeeeeeeh unaweza kimbia humu
duuu ila kuna mijitu humu inatouch ukweli....inatoa maada ambazo zinareflect reality lakini zinamaudhi sana!!!! zinafanya watu wasiwe waaminifu katika mahusiano yao
Hebu taja hiyo mijitu, tuifahamu, maana hata sikuwahi kuota kwamba hapa JF kuna mijitu........................!
Jukwaa hili (MMU) bana yaan % kubwa ya thread ni kupeana stress tupu mara 'hakuna mwaminifu 100%' mara 'mtu aliyemtoa demu bikra ataendelea kumgonga huyo demu hata akiolewa na mtu mwengine' mara ' mwenye mashine ndefu ndio bora (je sisi wenye fupi), mara ' ku do nje ya ndoa si dhambi' yaan full kutupa stress sisi tulipenda kiukweli ukweli....
teh teh naunga mkono hoja liondolewe kwa muda kidooogo