Silipendi jukwaa hili...! Full stress!!

Silipendi jukwaa hili...! Full stress!!

anzisha maada tu yakuomba ushauri....! hee hee heee! mfano mzuri anzisha maada inayosema 'mkewangu ametoka nje ya ndoa naombeni ushauri' ushauri utaoupata humo eeeeeeeeeh unaweza kimbia humu

Ngoja nitaangalia kama ni kweli ni full stress.
 
duuu ila kuna mijitu humu inatouch ukweli....inatoa maada ambazo zinareflect reality lakini zinamaudhi sana!!!! zinafanya watu wasiwe waaminifu katika mahusiano yao
 
duuu ila kuna mijitu humu inatouch ukweli....inatoa maada ambazo zinareflect reality lakini zinamaudhi sana!!!! zinafanya watu wasiwe waaminifu katika mahusiano yao

Hebu taja hiyo mijitu, tuifahamu, maana hata sikuwahi kuota kwamba hapa JF kuna mijitu........................!
 
Jukwaa la siasa ndio halina stress?? Kutwa kujadili matatizo bila kuyapatia ufumbuzi. Haku, MMU mpango mzima.

Zamani nilikuwa sikosi kununua magazeti kama Mwanahalisi; namshukuru mdogo wangu alinishtua, akanambia kama unataka kuwa kichaa endelea kufuatilia matatizo ya nchi hii. Kweli sasa hivi nimeacha nina amani kusema raia wa Norway vile.

Jukwaa hili (MMU) bana yaan % kubwa ya thread ni kupeana stress tupu mara 'hakuna mwaminifu 100%' mara 'mtu aliyemtoa demu bikra ataendelea kumgonga huyo demu hata akiolewa na mtu mwengine' mara ' mwenye mashine ndefu ndio bora (je sisi wenye fupi), mara ' ku do nje ya ndoa si dhambi' yaan full kutupa stress sisi tulipenda kiukweli ukweli....

teh teh naunga mkono hoja liondolewe kwa muda kidooogo
 
Kweli mambo kinyume!
mi mwenzio nlikuwa na stress za hali ya juu,MMU imefanya nijickie vzuri ss hv nipo stress free zone.
 
Jukwaa hili (MMU) bana yaan % kubwa ya thread ni kupeana stress tupu mara 'hakuna mwaminifu 100%' mara 'mtu aliyemtoa demu bikra ataendelea kumgonga huyo demu hata akiolewa na mtu mwengine' mara ' mwenye mashine ndefu ndio bora (je sisi wenye fupi), mara ' ku do nje ya ndoa si dhambi' yaan full kutupa stress sisi tulipenda kiukweli ukweli....

teh teh naunga mkono hoja liondolewe kwa muda kidooogo

Duh pole mwayego.. for mi I think I'm in LOVE with MMU . Yaani we acha tu. Nikipigwa stop naweza kata roho ati.
 
Mmu ndio mpango mzima mchana unashinda jukwaa la siasa na habari mchanganyiko,kama kawa vita ni ya kuumiza kichwa, mpambano ni magamba vs magwanda, ukichoka jioni unatuliza kichwa na mmu, burdaaaani kabisa, unakutana na smooth language kama za kina lizzy, ashadi, husinyo,nyani, asprn, the boss,bishanga, the finest, rr etc. Ni raha tu na si karaha
 
Pole sana. Kama MMU pamekuwia mzigo, hamia Chit-chat na jokes.
 
Back
Top Bottom