Silly question...

Silly question...

Lol si hivyo AD ninamaanisha kuwa (sijui nakosea?) but ile pete na ile will you marry me si inatakiwa iwe kama suprise hivi? Kuwa unaye boyfriend but hujui lengo lake kwako, you are having your good time together, no known future plans and then baaaam unashtuka tu mtu kapiga goti, au ndo kakudumbukizia kwenye glasi yenye red wine e.t.c ndio anakuomba au nimeathirika na tamthilia??

Huku kwa wengi wetu naonaga mdada anakuwa ameshaakubaliana na mwenzake kuwa atamuoa (wengine mimba zinakuwa vichocheo). So hata anapokuja na pete mdomoni, na kuomba akubali amuoe, ile excitement inakuwa imeshachakachuliwa au?

Mwe mie wa zamani jamani, haya yote ni mashikolo magheni kwangu.

MJ1 zungumzia ile kuw ahakuna mimba wala nini
Ndo suprise hiyo jamaa anakuja na pete yake na suprise in the middle of great pleassure anapiga goti na kukuomba "Will you marry me"
Hiyo excitment utakayoitapa na then ujibiwe na jibu la NO wakati mmeshare a lot
 
Inauma Sana Mkuu, Inauma Sana tena sana

Mkuu wacha ni maumivu ambayo hutokaa uyasahau maishani mwako na hutomsahau mhusika ambaye amesababisha maumivu hayo
Maana what you expect from your lover kwa muda wote mko pamoja ni kujua kuwa mtaishi pamoja
Umejipanga sasa ndo nimefikia muda wa kumwambia mwenzangu nia yangu ya kuishi naye pamoja anakujia na jibu la NO
Aise ni maumivu yasiyofaa hata kuelezea
 
AD no please
Yaani mhusika hapo yuko tayari kwa jibu moja tuu nalo ni YES
Usishangae mtu akadondoka kwa presha aise
Utakapoambiwa NO wakati ulikuwa unaexpect YES unaweza pata heart attack

umewahi kusikia
pale mtu anauliza "will you marry me"
halafu msichana anasema "I don't know what to say"..
kama ndio wewe reaction yako hapo ni ipi??
 
umewahi kusikia
pale mtu anauliza "will you marry me"
halafu msichana anasema "I don't know what to say"..
kama ndio wewe reaction yako hapo ni ipi??

Something like she is not ready
She doesnt love you
She is not sure kama aolewe na wewe au aache
Yaani hapo jua kuwa ni sawa na mtu akuambie NO tuu maana hajui hana uhakika na mapenzi yako hana uhakika na wewe ni sawa na kuwa bado anatafakari kama aolewe na wewe au akuache
 
umewahi kusikia
pale mtu anauliza "will you marry me"
halafu msichana anasema "I don't know what to say"..
kama ndio wewe reaction yako hapo ni ipi??
Aisee lazima nitamuuliza "What do you mean by saying that" na ninajua at that time akili itakuwa inawaza mawili kwa yuko excited kiasi kwamba anashindwa kusema hata "YES" au natarajia kusikia habari ambazo ni ndivyo sivyo
 
Mkuu inaweza kuwa yuko too excited au hana uhakika na wewe
hajawa na maamuzi ya kukubalia kuwa comitted kwako na bado anatafakari
Sometime jibu lao linakuja kuishia kuwa No am not ready
 
Lol si hivyo AD ninamaanisha kuwa (sijui nakosea?) but ile pete na ile will you marry me si inatakiwa iwe kama suprise hivi? Kuwa unaye boyfriend but hujui lengo lake kwako, you are having your good time together, no known future plans and then baaaam unashtuka tu mtu kapiga goti, au ndo kakudumbukizia kwenye glasi yenye red wine e.t.c ndio anakuomba au nimeathirika na tamthilia??

Huku kwa wengi wetu naonaga mdada anakuwa ameshaakubaliana na mwenzake kuwa atamuoa (wengine mimba zinakuwa vichocheo). So hata anapokuja na pete mdomoni, na kuomba akubali amuoe, ile excitement inakuwa imeshachakachuliwa au?

Mwe mie wa zamani jamani, haya yote ni mashikolo magheni kwangu.

yaaani hiyo paragraph ya kwanza ume i summarised vizuri sana ndivyo swali lilivyo..

daahhh mie hiyo ya kukubaliana hivi hivi mmhh
haina utamu bana.. lohhh

tena naona inapendeza zaidi ukiwa na katumbo chako (mimba)
halafu mkuu anakuja na muziki mutamu anapiga goti shmP kwa pembe
halafu anakuuliza..

sijui ni mimi tu au naona hii ni siku ambayo kila msicha ana
deserve kuwa nao / kuiona.. inautamu wake nadhami...
 
AD ina utamu wake sana
Sio kwa wanawake tuu hata kwetu wanaume wakati umepiga goti kusubiri uambiwe YES kwenye jibu lako
Sometime unajikuta uko mbele za watu wengi marafiki zako may be ambao umewaalika siku hiyo then wanasubiri kimya kuona jibu la mhusika
Yaani is so wonderful whether hata kama kuna mimba au nini
 
Kwanza there is no silly question, just silly answers.
Mi nilialikwa na mpenzi wangu kwake, nikawahi kufika. nikaanza kunywa wine aliandaa (red) as anaendelea kupika. tulivo fika juu ya meza I was too drunk kuelewa kinacho endelea so akaamua anirudishe home. ila kesho yake aliamkia saa 11, akaingia hadi chumbani. nilishtuka sana nikadhani kuna shida. akakaa next to me (na mimi nilikua nimesha kaa) alafu akanambia alikua na neno la kusema toka jana ila aliona nilikua sina hali ya kuelewa vizuri.
then akasema anahisi I bring a new dimention to his life na anapenda the way I look when I wake up na maneno mengine mengi ya uongo na ya kweli. Kwa vile tulikua tunatoka katika mzozano wa nguvu nikajua tu ataishia kusema "but I think we should break up" so nikaanza kusema : hata mimi nahisi hivo na please give us another change to make it right.
hapo ndipo alipiga goti, akanishika mkono wa left na akasema: XXX, would you stay with me forever? as my wife?
Haki nikalia straight. It was such a relieve!!! mengine nitakwambia kesho. hapa nakumbuka I feel all emotional again...
 
AD ina utamu wake sana
Sio kwa wanawake tuu hata kwetu wanaume wakati umepiga goti kusubiri uambiwe YES kwenye jibu lako
Sometime unajikuta uko mbele za watu wengi marafiki zako may be ambao umewaalika siku hiyo then wanasubiri kimya kuona jibu la mhusika
Yaani is so wonderful whether hata kama kuna mimba au nini

dahhhh
nidokezee ya kwako kidoncho basi....
yaelekea unayaelewa sana.. ( si lazima kama hujisikii lakini)
 
Aisee lazima nitamuuliza "What do you mean by saying that" na ninajua at that time akili itakuwa inawaza mawili kwa yuko excited kiasi kwamba anashindwa kusema hata "YES" au natarajia kusikia habari ambazo ni ndivyo sivyo

duhhhh
kwa hiyo hapo roho juuu juu...
 
Back
Top Bottom