Silly question...


safi sana mkuu ..
utakuwa hata umewafundisha wengine hapo..
uskute(mfanyakazi wa hapo) na mwingine alifanya kama we ulivyofanya..
 
Hahaha!!! Hata wale ambao ni nadra kuona mlango wa kanisani unashangaa na wenyewe wamekuja siku hiyo

siku ya kuvishwa kimoyo moyo nitakuwa nasema "ole wako univalishe lipete lako halafu ukanitese"
Na yeye atakuwa anasema kimoyomoyo "ole wako nikuvalishe pete halafu ukanizingue"
 
siku ya kuvishwa kimoyo moyo nitakuwa nasema "ole wako univalishe lipete lako halafu ukanitese"

hahahaah loohhhh
una vituko wewe jamaa anaraha zake w unawaza lingine ..
usje ukakosea tu mana itakuwa balaa..

ye ankuuliza "Will you marry me"
we unajibu "Ole wako univishe lipete lako halafu ukanitese" ( kwa baahati mbaya tu upayuke lohhh)..

sjui ata react vipi kwa kweli.. hahahah
 
safi sana mkuu ..
utakuwa hata umewafundisha wengine hapo..
uskute(mfanyakazi wa hapo) na mwingine alifanya kama we ulivyofanya..

It happen
One of my friend nae alifanyia engagement yake pale baad aya ile ya kwangu na baada ya kuona ilivyoandakiwa was just simple na nzuri
 
It happen
One of my friend nae alifanyia engagement yake pale baad aya ile ya kwangu na baada ya kuona ilivyoandakiwa was just simple na nzuri

safi sana..
si unaona sasa mambo matamu hayo ..Hongera sana mkuu 🙂
 
dahhhh hii mpya ..
safi sana ..
Kanisani hii sjawahi sikia ..

Alikufuata nje??

nope....alinifuata frnd wake, yeye alikaa mpaka misa ikaisha ametoka amekuta nimeshalia mweuc nikawa mwekundu.....cjui ile lia ilikuwa ya furaha/mshtuko au kitu gani,ckuwazia kama angefanya kama alivyofanya, nilidhani napitisha nae muda tu kwanza nimetokea kwenye kuvunjwa vunjwa moyo ckutegemea kama ningepata faraja kwa muda mfupi baada ya kuvunjwa vunjwa.....
 

Jamani labda alikuwa anaogopa utasema hapana ndo maana hakutoka..
duuhhh

Nway hizo feelings hizo ...ndo ngumu kuzi explain..
maana hata Best yangu alisema hata ile Gondola ingeanguaka
asingepata maumivu maana alikuwa hajielewi anafuraha au ana
huzuni ... na mi ndo nataka kuzielewa lakini kaniaambia ni ngumu
kuzisema ... "Ni subiri initokee"

ila ngependa kuzielewa kidincho..
 

na huo ndio ukweli wenyewe coz hujui ya kwako itatokeaje na mshtuko unaweza ukawa tofauti pia kutokana na mazingira(ilipangwa/haikupangwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…