Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Wakuu niliambiwa TTCL Wana bundle mrua la data, nikaona isiwe tabu nikatafuta laini ya TTCL , cha ajabu Kwanza sjui hawana menu Wana application ya kujiunga na vifurushi na penyewe lazma uwe online
Application haina sehemu ya huduma Kwa wateja , ina mana kama huna kifurush cha data applctn inakuwa useless , labda utumie lain nyingine na hapa lazma simu yako isupport two SIM card tofaut na hapo imekula kwako,
Mbaya Zaid nimeunga data lakn hasiomi mtandao , tatizo liko wap wakuu, Kwa wazoefu wa hawa ttcl watujuze , au coverage yao ndogo ?? Nawaza hata kuitupa niendelee na wabangaizaji wa tigo, halotel na vda