Simama imara kijana katika maisha

unataka kilio chetu aje kutufuta nani machozi hapa JF
 
Huwa wananichosha sana wanasema njoo ufanikiwe njoo ufanikiwe ukimuona mtu mwenywe KAPAUKAAAA
 
Harafu wanapenda sana kuvaa suti na tai, kudanganya ni kipaji.
Wanavaaga masuti makubwa kishenzi kama ya wacongo vile na zile tai panaaaa mitumbani zinauzwa mia 3
 
*Sna shaka mko salama kabisa ndugu zangu*

*Kwa muda mrefu watu wameshindwa kuitofautisha BITCLUB ADVANTAGE NA D9 na hvo kuwa na hofu ya kujiunga na bitclub kwa hofu ya kutapeliwa kama ilivyowatokea kwa D9 clube*

nimejaribu kupitia sehemu mbali mbali ili kuijua D9 na nimegundua kuwa kunatofauti kubwa kat ya D9 na BITCLUB ADVANTAGE japo zote ofis zao makao makuu ni BRAZIL.

1.D9 ilianzishwa na mr.santana *wakati* BITCLUB ilianzishwa na mr.alex vera

2.D9 ilidai inafanya biashara ya cypto currency lakn haijaeleza ni cypto currecy ipi inatumika zaid upande wake yaan haijaeleza kama inatumia bitcoin au lah!! *Wakati* Bitclub inaeleza waz kuwa inatumia bitcoin ktk biashara zao.

3.D9 imeeleza kuwa kazi yake ni kufanya biashara kwny michezo kama kuuza ticket na wachezaj, hvyo iliruhusu mtu kuwekeza in network wakat kaz zake hazihusish cypto currency *wakati* BITCLUB imeeleza waz kuwa inafanya biashara ya kuuza bitcoin na biashara za michezo pia inayofanya ni ya kimtandao

4.D9 ilieza jinsi kuwekeza lakn haijaeleza ni njia zp znatumika ktk utoaj wa pesa hyo. *Wakat* bitclub imeeleza waz njia za utoaj pesa hyo unayowekeza.

*Hzo ni baadh tu ya tofaut nilizogundua kuhusu kampuni ya kitapeli D9 na kampun halali ya bitclub advantage. Kwa mwny uelewa zaid wa D9 aje aeleze kama mm cpo sawa hapa. Itatupasa kuelewa hii D9 ili tuepukane na maswal yasyo kuwa na majib*
 
*Bitclubadvantage inautofauti gan na des!*
*1*: des ilikuwa na mfumo wa pyramid lakn ikiwa na lengo kuu la poze scheme. What is poze scheme- hii ni mufumo wa kukusanya pesa na kulipa ili kuvutia watu wengi sana, mwisho wa siku mkiwa wengi system zinaponse, kusimamishwa. Ni rahs na wanatoaga faida kubwa sana. Mfano des walikuwa wanatoa hela nyingi sana baada ya mwenz kama cyo week tatu.
Bitclubadvantage, cyo ponse scheme kwasabab mimi na ww tunauziana dollars za company na company inafanya kaz ya automatic production of emoney na kumbuka emoney ya bitclubadvantage cyo sawa na ile ya wci au bitconnect, na pia kuna kitu kinaitwa renew, renew hii inafanyika through bitcoin and not otherwise, account ikifloat hata kama una dollars za bitclubadvantage hauruhusiwi kutumia kabsa, unatakiwa utumie bitcoin. Alafu angalia kama unafikiria vzr withdraw kwenda bank makato makubwa sana ambayo ni 10%, na inachukua 5 working days. Kwaiyo wao wanakusanya tu bitcoin. Sisi tunapeana Tsh.
Members wanapo renew ndipo wanaingiza pesa ndan ya company ya bitclubadvantage na cyo wanapo join. Kwa mwanauchumi ataelewa. Logically ipo ivo. Alafu kurushiana dollars ndan ya account ya bitclubadvantage ni bure had 1%, unajifinza nn hapo?. Inamaaana wanataka turushiane dollars na cyo withdraw.
 
ndugu yangu weeee. kuongea ni tofauti na kutenda. kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
 
Hamna maswali ila kuna ushauri, achana na hizo biashara kichaa unaonekana chizi tu nenda hata site kasaidie kubeba zege
Nimeipenda idea yk siku zote ktk maisha ukifika mahali kila mtu ana kuona chizi b'se ww una misimamo wako kama ni kweli simama kwelikweli pia usikubali kuyumba kwa sababu hiyo ndo salama yako ila kama una simamia kwa kitu ambacho hukijuw basi wwe ni chizi kwelikweli
 
Ofisi zenu ziko kinondoni sehem gani make kuna mmoja alieka tangazo hilo hilo nilipompigia akanambia online bzness haina ofisi nkashindwa kuendelea make Alikua anajibu short cut hatoi Maelezo Kama vp ungeeka namba ya huduma
 
Ofisi zenu ziko kinondoni sehem gani make kuna mmoja alieka tangazo hilo hilo nilipompigia akanambia online bzness haina ofisi nkashindwa kuendelea make Alikua anajibu short cut hatoi Maelezo Kama vp ungeeka namba ya huduma
ukifikia level ya kulipwa milioni utushtue hilo deal
 
1
Nakaribisha maswali kama yapo

Kuna tofauti gani Kati ya "Gain" na "Balance". Nilijiunga Client Premium balance ikawa usd400 na gains usd400. Then nika upgrade to Cĺient Black balance ikaanza zero lakini "Gains" ziliendelea zilezile.
 
Nimejifunza mengi, ubarikiwe.
 
1


Kuna tofauti gani Kati ya "Gain" na "Balance". Nilijiunga Client Premium balance ikawa usd400 na gains usd400. Then nika upgrade to Cĺient Black balance ikaanza zero lakini "Gains" ziliendelea zilezile.
Gain nikitu ambacho ume receive but balance ina jumuisha gain zako zote ulipo upgrade ulitumia balance yako na pia ukifanya mauzo ya Dollars kwa mtu ina change balance but gains ipo constant
 
Ofisi zenu ziko kinondoni sehem gani make kuna mmoja alieka tangazo hilo hilo nilipompigia akanambia online bzness haina ofisi nkashindwa kuendelea make Alikua anajibu short cut hatoi Maelezo Kama vp ungeeka namba ya huduma
Ukiweka no siyo kila mtu ni ana mtazamo kama wako wengine wana mtazamo negative so wanasumbua tu ww kama una taka kujifunza karibu ata inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…