buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Nije pm mkuu?Poa Poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nije pm mkuu?Poa Poa
Huwa wananichosha sana wanasema njoo ufanikiwe njoo ufanikiwe ukimuona mtu mwenywe KAPAUKAAAANimewahi kuhudhuria semina ya hawa watu sijui Trevo sijui madude gani, mara utaingiza milion Mbili kwa wiki na kutembelea gari zuri, ikabidi nisubilie mpka mwisho wa semina nione hayo magari mazur wanayoyazungumzia, lahaulaaaa nashangaa tunapigana vikumbo kwenye daladala za mbagara rangi 3, nikachoka
Hana mtazamo Hasi wakati DECI inaingia hakukuwa na mtu wa kututahdharisha zoomantz amejarbu kututahadharisha unasema ana mtazamo hasi we wakwakwo!?Mbona una mtazamo hasi hivyo...!
Wanavaaga masuti makubwa kishenzi kama ya wacongo vile na zile tai panaaaa mitumbani zinauzwa mia 3Harafu wanapenda sana kuvaa suti na tai, kudanganya ni kipaji.
ndugu yangu weeee. kuongea ni tofauti na kutenda. kuongea ni rahisi kuliko kutenda.Nimewahi kuhudhuria semina ya hawa watu sijui Trevo sijui madude gani, mara utaingiza milion Mbili kwa wiki na kutembelea gari zuri, ikabidi nisubilie mpka mwisho wa semina nione hayo magari mazur wanayoyazungumzia, lahaulaaaa nashangaa tunapigana vikumbo kwenye daladala za mbagara rangi 3, nikachoka
Hamna maswali ila kuna ushauri, achana na hizo biashara kichaa unaonekana chizi tu nenda hata site kasaidie kubeba zegeNakaribisha maswali kama yapo
Nimeipenda idea yk siku zote ktk maisha ukifika mahali kila mtu ana kuona chizi b'se ww una misimamo wako kama ni kweli simama kwelikweli pia usikubali kuyumba kwa sababu hiyo ndo salama yako ila kama una simamia kwa kitu ambacho hukijuw basi wwe ni chizi kwelikweliHamna maswali ila kuna ushauri, achana na hizo biashara kichaa unaonekana chizi tu nenda hata site kasaidie kubeba zege
ukifikia level ya kulipwa milioni utushtue hilo dealOfisi zenu ziko kinondoni sehem gani make kuna mmoja alieka tangazo hilo hilo nilipompigia akanambia online bzness haina ofisi nkashindwa kuendelea make Alikua anajibu short cut hatoi Maelezo Kama vp ungeeka namba ya huduma
Poa Evelynukifikia level ya kulipwa milioni utushtue hilo deal
Nakaribisha maswali kama yapo
Nimejifunza mengi, ubarikiwe.Kama upo sirias na unahitaji kuwekeza ili uweze kukuza uchumi wako, tafadhali naomba niambie ili nikupe mbinu znazonifanya kila siku nizidi kuwa bora zaidi kiuchumi, nipo tayari kukusaidia kimtazamo, na mbinu za kukuza mtaji au kipato chako kwa umakini zaidi kwa mfumo sahihi ,tukiwa kama vijana, tuliokusudia kukuza maendeleo yetu kupitia mikondo tofauti tofaut ya kuongeza kipato.
Using'ang'anie mshahara tu, au biashara moja tu ambayo umeizoea , utaona mambo hayasongi mbele kwa wakati. Hebu ongeza mkondo mwingine wa kipato na ubadilishane mawazo na watu tofauti wenye malengo ya kufanikiwa, hakika utaona mabadiliko makubwa sana katika uchumi wako.
Tusiishie kuilaum serikali hebu tuangalie ubunifu na mbinu sahihi za kutufanikishia malengo yetu. Niambie kama upo tayari nikusaidie,,,,mbinu ya kukuza mtaji wako uweze kuwekeza zaidi, uskariri maisha,,, vijana makin tunasonga mbele sasa kwa nin wew usubir kesho ambayo hauijui?
Gain nikitu ambacho ume receive but balance ina jumuisha gain zako zote ulipo upgrade ulitumia balance yako na pia ukifanya mauzo ya Dollars kwa mtu ina change balance but gains ipo constant1
Kuna tofauti gani Kati ya "Gain" na "Balance". Nilijiunga Client Premium balance ikawa usd400 na gains usd400. Then nika upgrade to Cĺient Black balance ikaanza zero lakini "Gains" ziliendelea zilezile.
Ukiweka no siyo kila mtu ni ana mtazamo kama wako wengine wana mtazamo negative so wanasumbua tu ww kama una taka kujifunza karibu ata inboxOfisi zenu ziko kinondoni sehem gani make kuna mmoja alieka tangazo hilo hilo nilipompigia akanambia online bzness haina ofisi nkashindwa kuendelea make Alikua anajibu short cut hatoi Maelezo Kama vp ungeeka namba ya huduma