trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Ila kiukweli sijawahi kusikia mahusiano yanavunjika kwa suala kama la hirizi .. Kwa wanaojua mapenzi au waliowahi kupenda, watakubaliana na Mimi.Uchawi wa kweli maranyingi hauhusishwi hayo madude yanayopumua na kwakweli mengi huwa ni utapeli
Anakutana na mambo magumu kwa sababu ameyafakamia, angetulia wala asingekutana nayo yoteTukiacha yooote yasemwayo kuhusiana na yeye ila Lulu ni mdada anayejua thamani yake ukiachilia mimama mizima iliyojazana Bongo movie.Kapitia katika matatizo ambayo kiukweli ni ngumu sana kuendana nayo ila mtoto wa watu kasimama imara anaendeleza maisha yake.Anastahili pongezi pia inaonesha mama yake pia ni msaada mkubwa kwake na anaweza kumrudisha kwenye mstari.Maana wasanii wengine wanashindana tu na mama zao na wao kutupia picha instagram na kutoa matamko.
Ukweli mtupu wengi hutishwa bila sababuIla kiukweli sijawahi kusikia mahusiano yanavunjika kwa suala kama la hirizi .. Kwa wanaojua mapenzi au waliowahi kupenda, watakubaliana na Mimi.
Labda hiyo ni kutafutiwa sababu. Unless wale wenye wasiwasi na mazingira waliyonayo,ndiyk baadhi huenda kwa waganga na kuambiwa, anayesababisha unashindwa labda kuchepuka,au kufanya jambo fulani,ni mwanamke wako au mwanaume wako.
Nipo mkuu sema mjini tunakimbizana sana,,,,,,,,,,,,,,,,, z hahahahhaa peleka tuLoh ulipotelea wapi wewe? Kuna uzi unaotaja majina mabaya ngoja nipeleke kwako utaibuka mshindi[emoji85] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi huyu binti simuelewi mbona anaishi Kama Hana majuto. Kama huu ni unafiki, I'm guilty as charged.Kama binadamu na Kama mzazi ukiacha mapungufu yote ya Lulu. Elizabeth Michael naye ni binadamu mwenye hisia kama wengine! Anastahili kupata kila unachostahili wewe, upendo ulinzi kujaliwa utu wake kusifiwa privacy nk nk
Kuna watu wana kipawa cha kuwa maarufu kiasili Lulu ni mmojawapo na tatizo limeanzia hapo
Ni binti ambaye nyota yake iliwaka akiwa mdogo kabisa, umaarufu wake kuna watu wameusotea miaka bila kuupata..hili ni tatizo la pili
Nyota yake hiyo ikaenda sambamba na matatizo, katika Umri mdogo kabisa akapata mpenzi ambaye mamilioni ya wanawake wangetamani kumpata na ikibidi kummiliki milele..hili ni tatizo la tatu na msingi wa mada
Hulka yake binadamu ni kufurahia ama kuona mwingine anashindwa hasa yule anayedhani kamzidi hiki ama kile...ishu za haters huanzia hapa
Tangu wakati huo Lulu hajawahi kupumua ikawa ni bandika bandua ya matatizo, sehemu kubwa ya jamii ikajitenga naye bila kutafakari kwamba nje ya ustaa na umaarufu wake Lulu ni binti kama binti mwingine yoyote anayepitia hatua za kawaida kabisa za makuzi na anakumbana na mengi....
Mabinti wengi huchukua maamuzi mabaya ya kujiua kwenye changamoto ndogo tu za ukuaji. Jamii ikamtenga fulani hivi wachache wakampa moyo wa kusonga mbele anaweza kusimama na kuendelea mbele NAMSIFU
matatizo yamemkomaza yuko imara kuliko maelfu ya watu, lakini ni nani anayependa kuambiwa kuwa ana nuksi? Ama kimavi? Ni nani anayependa kuitwa kuwa yeye ni malaika wa kifo? Hakuna!!!!
Lulu katika binadamu wake anapenda maisha yake amani furaha na upendo... Lakini kagundua kuna tatizo mahali... Kaenda kusaka tiba mbadala, limekuwa ni tatizo kubwa!
Ni nani ambaye hapendi kujaribu njia nyingine kama akiona mambo hayaendi? Tuacheni unafique kiwango cha PhD
Umenikuna sana Mkuu. Watanzania tuko kinafiki na kiushabiki. Mara nyingi tunapenda kudakia vitu juu kwa juu bila kujua ukweli wake na kuwaaminisha watu . Tetesi zimekuwa zikichuliwa kama ukweli. Hatuna msimamo!Kama binadamu na Kama mzazi ukiacha mapungufu yote ya Lulu. Elizabeth Michael naye ni binadamu mwenye hisia kama wengine! Anastahili kupata kila unachostahili wewe, upendo ulinzi kujaliwa utu wake kusifiwa privacy nk nk
Kuna watu wana kipawa cha kuwa maarufu kiasili Lulu ni mmojawapo na tatizo limeanzia hapo
Ni binti ambaye nyota yake iliwaka akiwa mdogo kabisa, umaarufu wake kuna watu wameusotea miaka bila kuupata..hili ni tatizo la pili
Nyota yake hiyo ikaenda sambamba na matatizo, katika Umri mdogo kabisa akapata mpenzi ambaye mamilioni ya wanawake wangetamani kumpata na ikibidi kummiliki milele..hili ni tatizo la tatu na msingi wa mada
Hulka yake binadamu ni kufurahia ama kuona mwingine anashindwa hasa yule anayedhani kamzidi hiki ama kile...ishu za haters huanzia hapa
Tangu wakati huo Lulu hajawahi kupumua ikawa ni bandika bandua ya matatizo, sehemu kubwa ya jamii ikajitenga naye bila kutafakari kwamba nje ya ustaa na umaarufu wake Lulu ni binti kama binti mwingine yoyote anayepitia hatua za kawaida kabisa za makuzi na anakumbana na mengi....
Mabinti wengi huchukua maamuzi mabaya ya kujiua kwenye changamoto ndogo tu za ukuaji. Jamii ikamtenga fulani hivi wachache wakampa moyo wa kusonga mbele anaweza kusimama na kuendelea mbele NAMSIFU
matatizo yamemkomaza yuko imara kuliko maelfu ya watu, lakini ni nani anayependa kuambiwa kuwa ana nuksi? Ama kimavi? Ni nani anayependa kuitwa kuwa yeye ni malaika wa kifo? Hakuna!!!!
Lulu katika binadamu wake anapenda maisha yake amani furaha na upendo... Lakini kagundua kuna tatizo mahali... Kaenda kusaka tiba mbadala, limekuwa ni tatizo kubwa!
Ni nani ambaye hapendi kujaribu njia nyingine kama akiona mambo hayaendi? Tuacheni unafique kiwango cha PhD
[emoji15] Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app