Simanjiro: Wananchi kijiji cha Loswaki wafanya mdahalo kuhusu kilimo cha umwagiliaji na kujikwamua kiuchumi

Simanjiro: Wananchi kijiji cha Loswaki wafanya mdahalo kuhusu kilimo cha umwagiliaji na kujikwamua kiuchumi

Isack888

Member
Joined
May 16, 2024
Posts
27
Reaction score
43
Screenshot_20241110_094807_Instagram.jpg

Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia kuboresha maisha yao na kuleta mabadiliko ya kijamii.

Kupitia vipindi kama Nijuze, tunaendelea kuhimiza usawa wa kijinsia, utawala bora, na mbinu endelevu za kuendana na mabadiliko ya Tabianchi

Screenshot_20241110_094822_Instagram.jpg

=====

We held an insightful discussion in Loswaki Village, exploring how irrigation farming can empower communities economically. Women farmers shared inspiring stories of how this practice has improved their lives and brought positive social change. Through programs like Nijuze, we continue to advocate for gender equality, good governance, and sustainable approaches to climate adaptation.
 
#Swahili

Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia kuboresha maisha yao na kuleta mabadiliko ya kijamii. Kupitia vipindi kama Nijuze, tunaendelea kuhimiza usawa wa kijinsia, utawala bora, na mbinu endelevu za kuendana na mabadiliko ya Tabianchi

#IrrigationFarming #WomenEmpowerment #GoodGovernance #GenderEquality #ClimateChange #Nijuze #OrkonereiFM #SustainableDevelopment
 
Attachments

  • IMG_20241101_145254.jpg
    IMG_20241101_145254.jpg
    561 KB · Views: 3
  • IMG_20241101_145311.jpg
    IMG_20241101_145311.jpg
    659.4 KB · Views: 4
  • IMG_20241101_141221.jpg
    IMG_20241101_141221.jpg
    988.7 KB · Views: 4
  • IMG_20241101_134025.jpg
    IMG_20241101_134025.jpg
    681.6 KB · Views: 4
Back
Top Bottom