Simanzi Afrika! Dj Arafat Azikwa Kitaifa Ivory Coast

Simanzi Afrika! Dj Arafat Azikwa Kitaifa Ivory Coast

Imenishangaza kwa davido kupiga bongo LA show nyimbo alizoimba nying n za starehe kuliko majonzi
 
Alikuwa ni King wa Coupe Decale.
Ukiangalie waliokwenda kumzika ndiyo utajua. Mara kadhaa Drogba alikuwa akifunga goli basi hucheza kama anakata kitu hewani na kisu ambayo ndiyo ilikiwa style ya Coupe Decale. RIP Arafat.



Vijana vaeni kofia yaani Helmet mkiwa kwenye pikipiki. Pia kuweni waangalifu. Huyu Marehemu alisifika kwa kuendesha pikipiki ovyo ovyo. Na pikipiki imemuuwa.
Youtube zipo film zake kadhaa akiendesha ovyo. Wengi walijua ni muda tu yatamkuta.
alisitahili kufa alale kokote tu mimi simuombei mema kwenye nyama damu wala mifupa
 
Back
Top Bottom