[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waytatafuta visingizio wajitoeHali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.
Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.
Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
Timu bingwa wa nchi Na bingwa mtetezi ndio wanatakiwa kushiriki..Yanga anaenda kama nani...Inafanyikia wapi? Je Yanga watakuwa na nauli pamoja na gharama nyingine za kuwawezesha kumudu kushiriki michuano hiyo?
Mkuu,una maswali ya kiroho mbaya Sana yanayoweza kusababisha watu kupoteza fahamu kama sio kupata fadhaaInafanyikia wapi? Je Yanga watakuwa na nauli pamoja na gharama nyingine za kuwawezesha kumudu kushiriki michuano hiyo?
Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.
Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.
Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.[/QUOTE
Sawa kwa uzwazwa wako Yanga alikwepa, he wewe uliyeshiriki ulipata nini zaidi ya vipondo kila mechi.?
Hawakawii kujitoa hawa
Hilo ni bonanza la Musonye kupiga hela, ni wajinga pekee ndio watasapoti upumbavu huu, ni mpumbavu pekee hapa duniani ndio atakubali kutumikaHali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.
Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.
Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
Wanasema wao wanashiriki kama nani,sio mabingwa wala sio watetezi. Wanamtaka Msonye asiwatumie kwa manufaa binafsi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waytatafuta visingizio wajitoe
Jr[emoji769]
Musonye yupo Cecafa tangu sina mtoto na sasa my first born yupo University, ana tija gani? Hiyo ni Saccoss yake?Wanasema wao wanashiriki kama nani,sio mabingwa wala sio watetezi. Wanamtaka Msonye asiwatumie kwa manufaa binafsi
Mjitoe tu kuepusha fedheha mtani ππNimeshafika Mtani.
iko hivyo jamaa wamegundua kuna uwezekano hizi timu zisikutane kama zitapangwa tofauti hivyo waziwahi kuziweka pamoja ili kukusanya mapato mapemaaaaaUkiweka ushabiki kando utagundua CECAFA wapo kimaslahi zaidi. There is no way ukaziweka Real Madrid na Barcelona kwenye kundi moja. Maybe ni njia ya kuilazimisha Yanga ipeleke first eleven yake kamili na sio vijana kama wanavyofanya miaka ya hivi karibuni. Mwenye mapenzi mema na maendeleo ya soka ukanda huu hawezi akafurahia huu upuuzi.
Kwani cecafa itafanyika Tanzania?iko hivyo jamaa wamegundua kuna uwezekano hizi timu zisikutane kama zitapangwa tofauti hivyo waziwahi kuziweka pamoja ili kukusanya mapato mapemaaaaa
Umeshasahau mechi ya juzi Mtani mambo huwa yanabadilika na Mbinu ndio zinazotumika zaidi. Hivyo tutakula na nyie sahani moja Mtani.Mjitoe tu kuepusha fedheha mtani ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This time bakuli litakuwa sababu, timu inayopanda kirikuu kwenda kwenye mazoezi
Sent using Jamii Forums mobile app