Simanzi Yanga,wapangwa kundi moja na Simba-Kagame Cup

Simanzi Yanga,wapangwa kundi moja na Simba-Kagame Cup

Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.

Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.

Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waytatafuta visingizio wajitoe

Jr[emoji769]
 
Inafanyikia wapi? Je Yanga watakuwa na nauli pamoja na gharama nyingine za kuwawezesha kumudu kushiriki michuano hiyo?
Timu bingwa wa nchi Na bingwa mtetezi ndio wanatakiwa kushiriki..Yanga anaenda kama nani...
 
Saea
Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.

Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.

Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.[/QUOTE

Sawa kwa uzwazwa wako Yanga alikwepa, he wewe uliyeshiriki ulipata nini zaidi ya vipondo kila mechi.?
 
Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.

Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.

Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
Hilo ni bonanza la Musonye kupiga hela, ni wajinga pekee ndio watasapoti upumbavu huu, ni mpumbavu pekee hapa duniani ndio atakubali kutumika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Mikocha yetu haijui uchungu wa Derby na Michezaji minafique haijui maumivu ya kufungwa. Mechi ijayo tucheze mashabiki
 
Simba mkifungwa msingoe viti tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Yanga sijui walikua wanatengeneza Viti hapa
tapatalk_1550436827871.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna midude inaichukulia yanga poa ila tupangwe na simba au fc vita tutawapiga nje ndani pumbavu zenu mbumbu fc.
 
Ukiweka ushabiki kando utagundua CECAFA wapo kimaslahi zaidi. There is no way ukaziweka Real Madrid na Barcelona kwenye kundi moja. Maybe ni njia ya kuilazimisha Yanga ipeleke first eleven yake kamili na sio vijana kama wanavyofanya miaka ya hivi karibuni. Mwenye mapenzi mema na maendeleo ya soka ukanda huu hawezi akafurahia huu upuuzi.
iko hivyo jamaa wamegundua kuna uwezekano hizi timu zisikutane kama zitapangwa tofauti hivyo waziwahi kuziweka pamoja ili kukusanya mapato mapemaaaaa
 
Back
Top Bottom