Tishio gani sasa hapo mbona hueleweki, mmekaa kusifia timu ya vibabu ndio maana mnapigwa tano.Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.
Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.
Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
Mambumbu flani juzi niliyakumbusha kashfa ya mchezaji wao Thomas Karume aliyekuwa anafirwa na akina Kaburu yakajifanya yamesahau.Ile mechi Kaly Ongara anamgeuza mwameja kama demu wake na mbumbumbu fc yanakufa tatu bila mashabiki wakarusha shanga uwanjani yamesahau.Kuna midude inaichukulia yanga poa ila tupangwe na simba au fc vita tutawapiga nje ndani pumbavu zenu mbumbu fc.
Wewe utakuwa na matatizo kichwani michuano inatimu za simba,yanga, azam, APR, Lion, vita, leopard,KMC,goli mahia na URA alafu useme michuano imepoteza mnvuto? Utakuwa ujitambui wewe sio bule.Hii michuano imeshapoteza mvuto n Kama bonanza flan tu
Mukulu, kumbe wewe Muhenga ktk soka, hiyo Yanga ilikuwa gusa unase, hatari vijana walikuwa wametoka kubeba ndoo ya cecafa kule Kampala, kipindi ni cecafa kweli sio sasa limegeuka bonanza LA wajanja flani na Galina mvuto tena.Mambumbu flani juzi niliyakumbusha kashfa ya mchezaji wao Thomas Karume aliyekuwa anafirwa na akina Kaburu yakajifanya yamesahau.Ile mechi Kaly Ongara anamgeuza mwameja kama demu wake na mbumbumbu fc yanakufa tatu bila mashabiki wakarusha shanga uwanjani yamesahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za Kimikia FC aka Mbumbumbu utawajua tu wazee wa manunuzi.Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.
Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.
Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
We utakuwa mvuta bangiHali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.
Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.
Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
Mapinduzi Zanzibar mlienda kama akina nani?.. Mbona mashabiki mnaishusha hadhi timu yenu kwa kuogopa Mashindano??Sawa tutajitoa, kwanza sisi siyo mabingwa was nchi, au watetezi was kombe hili, sasa tunaenda kucheza mashindano kwa lipi kama so uroho wa mapato was akina Msonye na Karai wa tff.
Mbona 5-0 unasahau ulipigwa na Akina Sunzu + MafisangoMambumbu flani juzi niliyakumbusha kashfa ya mchezaji wao Thomas Karume aliyekuwa anafirwa na akina Kaburu yakajifanya yamesahau.Ile mechi Kaly Ongara anamgeuza mwameja kama demu wake na mbumbumbu fc yanakufa tatu bila mashabiki wakarusha shanga uwanjani yamesahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajenge viwanja vyao... Hatutaki dekoTFF wamenogewa na mapato
VAT
DRFA
TFF
BMT
GHARAMA ZA UWANJA
GHARAMA ZA MCHEZO
BOARD YA LIGI
CHAMA CHA WAAMUZI
KAMATI YA MASAA 72
MFUKO WA LIGI
Nk. ...........
wanaovuja jasho uwanjani wanaambulia chini ya nusu ya mapato
TFF hii wezi haijapata kutokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ya vibabu Inapiga Vijana kama Yanga + Azam?Tishio gani sasa hapo mbona hueleweki, mmekaa kusifia timu ya vibabu ndio maana mnapigwa tano.
Leo Kagame imekuwa ya Kipumbavu?? Kisa Manji hayupo?? Au Mbuyu TwiteHilo ni bonanza la Musonye kupiga hela, ni wajinga pekee ndio watasapoti upumbavu huu, ni mpumbavu pekee hapa duniani ndio atakubali kutumika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo kundi C,, Yanga anapanga kukimbia
Kama Gor mahia mlivyompiga nje-ndani. ππKuna midude inaichukulia yanga poa ila tupangwe na simba au fc vita tutawapiga nje ndani pumbavu zenu mbumbu fc.
Ukikaa kimya ni njia ya kuficha ujinga watu wasikujue, Mapinduzi timu zinateuliwa wakati Kagame ni michuano ya klabu bingwa ukanda wa CecafaMapinduzi Zanzibar mlienda kama akina nani?.. Mbona mashabiki mnaishusha hadhi timu yenu kwa kuogopa Mashindano??
Yanga ni timu Kubwa Acheni ushamba
Na bado hamjakimbia... π± Mmekuwa waoga hadi vivuli vyenu.Ukikaa kimya ni njia ya kuficha ujinga watu wasikujue, Mapinduzi timu zinateuliwa wakati Kagame ni michuano ya klabu bingwa ukanda wa Cecafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni visingizio pelekeni timu kwenye mashindanoUkiweka ushabiki kando utagundua CECAFA wapo kimaslahi zaidi. There is no way ukaziweka Real Madrid na Barcelona kwenye kundi moja. Maybe ni njia ya kuilazimisha Yanga ipeleke first eleven yake kamili na sio vijana kama wanavyofanya miaka ya hivi karibuni. Mwenye mapenzi mema na maendeleo ya soka ukanda huu hawezi akafurahia huu upuuzi.