Simanzi Yanga,wapangwa kundi moja na Simba-Kagame Cup

Simanzi Yanga,wapangwa kundi moja na Simba-Kagame Cup

Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.

Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.

Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
Tishio gani sasa hapo mbona hueleweki, mmekaa kusifia timu ya vibabu ndio maana mnapigwa tano.
 
Hii michuano imeshapoteza mvuto n Kama bonanza flan tu
 
Kuna midude inaichukulia yanga poa ila tupangwe na simba au fc vita tutawapiga nje ndani pumbavu zenu mbumbu fc.
Mambumbu flani juzi niliyakumbusha kashfa ya mchezaji wao Thomas Karume aliyekuwa anafirwa na akina Kaburu yakajifanya yamesahau.Ile mechi Kaly Ongara anamgeuza mwameja kama demu wake na mbumbumbu fc yanakufa tatu bila mashabiki wakarusha shanga uwanjani yamesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii michuano imeshapoteza mvuto n Kama bonanza flan tu
Wewe utakuwa na matatizo kichwani michuano inatimu za simba,yanga, azam, APR, Lion, vita, leopard,KMC,goli mahia na URA alafu useme michuano imepoteza mnvuto? Utakuwa ujitambui wewe sio bule.
 
Mambumbu flani juzi niliyakumbusha kashfa ya mchezaji wao Thomas Karume aliyekuwa anafirwa na akina Kaburu yakajifanya yamesahau.Ile mechi Kaly Ongara anamgeuza mwameja kama demu wake na mbumbumbu fc yanakufa tatu bila mashabiki wakarusha shanga uwanjani yamesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mukulu, kumbe wewe Muhenga ktk soka, hiyo Yanga ilikuwa gusa unase, hatari vijana walikuwa wametoka kubeba ndoo ya cecafa kule Kampala, kipindi ni cecafa kweli sio sasa limegeuka bonanza LA wajanja flani na Galina mvuto tena.
 
Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.

Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.

Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
Akili za Kimikia FC aka Mbumbumbu utawajua tu wazee wa manunuzi.
 
TFF wamenogewa na mapato

VAT
DRFA
TFF
BMT
GHARAMA ZA UWANJA
GHARAMA ZA MCHEZO
BOARD YA LIGI
CHAMA CHA WAAMUZI
KAMATI YA MASAA 72
MFUKO WA LIGI
Nk. ...........

wanaovuja jasho uwanjani wanaambulia chini ya nusu ya mapato

TFF hii wezi haijapata kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa mimi nishabiki wa simba but nawajua yanga wana kocha anaejielewa sana na hawezi kushiriki haya mashindano....haya mabonanza hayana umuhimu wowote nitawashangaa simba badala ya ku focus kwenye michuano muhimu wapaleke wachezaji kwenye haya mabonanza kuongezamajeruhi wakati timu inakabiliwa na michuano muhimu
 
Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.

Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.

Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
We utakuwa mvuta bangi
 
Sawa tutajitoa, kwanza sisi siyo mabingwa was nchi, au watetezi was kombe hili, sasa tunaenda kucheza mashindano kwa lipi kama so uroho wa mapato was akina Msonye na Karai wa tff.
Mapinduzi Zanzibar mlienda kama akina nani?.. Mbona mashabiki mnaishusha hadhi timu yenu kwa kuogopa Mashindano??
Yanga ni timu Kubwa Acheni ushamba
 
Mambumbu flani juzi niliyakumbusha kashfa ya mchezaji wao Thomas Karume aliyekuwa anafirwa na akina Kaburu yakajifanya yamesahau.Ile mechi Kaly Ongara anamgeuza mwameja kama demu wake na mbumbumbu fc yanakufa tatu bila mashabiki wakarusha shanga uwanjani yamesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona 5-0 unasahau ulipigwa na Akina Sunzu + Mafisango
 
Wa
TFF wamenogewa na mapato

VAT
DRFA
TFF
BMT
GHARAMA ZA UWANJA
GHARAMA ZA MCHEZO
BOARD YA LIGI
CHAMA CHA WAAMUZI
KAMATI YA MASAA 72
MFUKO WA LIGI
Nk. ...........

wanaovuja jasho uwanjani wanaambulia chini ya nusu ya mapato

TFF hii wezi haijapata kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajenge viwanja vyao... Hatutaki deko
 
Mapinduzi Zanzibar mlienda kama akina nani?.. Mbona mashabiki mnaishusha hadhi timu yenu kwa kuogopa Mashindano??
Yanga ni timu Kubwa Acheni ushamba
Ukikaa kimya ni njia ya kuficha ujinga watu wasikujue, Mapinduzi timu zinateuliwa wakati Kagame ni michuano ya klabu bingwa ukanda wa Cecafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ndio mfalme wa kabumbu Africa Mashariki na Kati...ndio timu yenye mafanikio zaidi kwa timu za ukanda huu kwani ndio timu imechukua Mara nyingi ....Simba ni fahari ya Africa Mashariki na Kati tujivunie nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka ushabiki kando utagundua CECAFA wapo kimaslahi zaidi. There is no way ukaziweka Real Madrid na Barcelona kwenye kundi moja. Maybe ni njia ya kuilazimisha Yanga ipeleke first eleven yake kamili na sio vijana kama wanavyofanya miaka ya hivi karibuni. Mwenye mapenzi mema na maendeleo ya soka ukanda huu hawezi akafurahia huu upuuzi.
Acheni visingizio pelekeni timu kwenye mashindano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom