Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Kaingia wawa katoka kibu, hapa ni kwamba ulinzi ndio kitu muhimu kwa sasa
 
enonga ndio mchezaji bora wa leo, sema sijui kama mchizi kasikia maana taarofa imekuja kwa kiswahili na jamaa tunafahamu ni mkongo
 
Simba anapata kona hapa dakika ya 93:18
 
Dakika ya 93:46 kona ya pili tena simba inapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…