Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk ni nyingi sana afu Azam anazidi kuingiza watu wapya, kupaki basi ni hatari sana kwetu atleast tungekuwa tunakabia pale half.Tutashinda ila tutakuwa tumetokwa jasho maana Azam wanakuja kama wote asee
Ni hatari sana na hapa zitaongezwa dakika nyingi maana mpira umesimama simama muda mrefuDk ni nyingi sana afu Azam anazidi kuingiza watu wapya, kupaki basi ni hatari sana kwetu atleast tungekuwa tunakabia pale half.
Kilio chako kimesikikaKibu D, mechi imemkata kabisa.
Atoke tu aisee
Mchoyo halafu hajui namna ya kuitumia nafasi.Kibu mchoyo sana