Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamuzi mabovu ya refa
Hua ana mzuka sana. Ni tension tu za mechi.Hata kama ajitahidi kuwa Calm...ile faulo ya Sakho mpaka Matola akamfuata kumtuliza
Bora, Sakho watamvunja.Hasan dilunga kaingia na sakho katoka
[emoji1547]Well done Manula
na hii inafaiada sana jwa azam kwasababu wangecheza rough ya pili ingewekwa penalty tenaBora, Sakho watamvunja.