Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Huyu Bambo anazunguka tu watu wanapita. Hii Simba hapana
 
Kama mnahisi Simba amebebwa basi subiri saa nne usiku uone Cameroon atakachofanyiwa na refa
 
Kumbe mkude yupo?

Ila hawa makicha wadwanzi sana yani mkude ni wakuingia sub kweli?
 
Dakika ya 74 bwalya out, mkude in
 
Back
Top Bottom