Na ndivyo wanavyosemaMimi sijafurahia kwa kweli, itaonekana hatushindi mpaka penalt
Penalty ya mchongo ni PenaltyPenalti ya mchongo..
Amejikaza kweli kweli, awatafutie penat nyingine maana prison wana nafasi ya kusawazishaHuoni aibu?
Mbona inaendelea sana tu? Zamani ilikuwa si rahisi kuwaona Wacongo saba kwenye ligi nzimaHii ligi mbovu sana, ndio maana soka bongo haliendelei