Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Hili swala la kupita katikati ndo mahesababu ambayo nafikiria wamefundishwa na nani?

Kwanini unakuwa na mbinu ambazo ni costant hata pale ambapo zimekufanya ufungwe mara kibao?

Simba kila mtu kasha msoma mpira wake, wanaweza kudhani hii mechi ya leo wapinzani wao prison waluanza maandalizi juzi

Lakini ni mechi iliyoanza kufanyiwa mazoezi ya kimbinu tangu muda mrefu na hiyo ni kwasababu ya mfumo wa simba ambao ni ule ule siku zote usio badilika na ndio maana inakuwa rahisi wao kutusoma
 
Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza
 
hapa bila bocco kuingizwa, hatupati goli, kagere anaruka ruka tu
😁😁😁 Bocco tena!! Si ndiyo huyu huyu mlitaka asicheze kabisa pamoja na mwenzake Mugalu! Na badala yake MK14 apewe nafasi ya kucheza!

Dah!! Msimu huu kuwa kocha wa simba shida anayo! Maana mashabiki hata hamueleweki!!
 
Yes mbinu zile zile, no plan B.
 
Sakho kaingia

Mzamiru katoka
 
Watu wasio Jua mpira mna tabu sana hivi kwani mechi ambazo PSG walifungwa Messi hakuwepo?
Huo mdomo hawezi kuufunga mpaka Simba wapate goli, muache aropoke tu.
 
Full back ya simba hasa mwenda inatia sana mashaka
Huyu ni aina ya mabeki wa kizamani yaani kukaba tu. Kwenye kushambulia hamna kitu cross zake nyingi anagongesha watu , kiufupi hajafit kuwa mbadala wa kapombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…