Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Huyu Nyoni si chaguo zuri sana Kwa mchezo wa Leo pale katikati Kuna shimo namba SITA yetu haija tulia kabisa kama Mkude Yuko fiti ni Bora aingie tu
 
Prison wameweka ukuta mkali sana yani hakupitiki
 
Dilunga amekuwa bora kwa dakika hizi
 
Daah tumekoswa tena, tunashida kubwa katikati ya kiwanja
 
Prisons wanapata offtarget ya kwanza lakini Hata kama lingekuwa goli bado ilikuwa ni offside
 
Simba katikati pale hamna kitu mipira mingi inapotelea hapo
 
Kuna wachezaji Simba Ni Kama Wamemsahau Chama Mambo Yake

Anawawekea pasi Nzuri wanazikosa
 
Back
Top Bottom