Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Sijaelewa kwanini wachezaji wamekuwa na imani na eneo la kati kupitisha mipira yao wakati kimsingi hapo ndipo walipo wekewa uzio?

Chama alikuwa wakupiga cross eneo la juu pembeni lakini katoa pasi kwa mtu wa kati sehemu waliyo dominate zaidi prisons
 
Tuna hitaji mtu atakaye Dribble kama Sakho kuingia Ndani
Hawa jamaa hawana mpango wa kumiliki mpira hivyo atoke Nyoni aingie Morrison Kisha Muzamiru arudi chini kucheza SITA Kisha Bwalya atoke aingie Mugalu tuwe na watu wawili kwenye Box itasaidia.
 
Sijaelewa kwanini wachezaji wamekuwa na imani na eneo la kati kupitisha mipira yao wakati kimsingi hapo ndipo walipo wekewa uzio?

Chama alikuwa wakupiga cross eneo la juu pembeni lakini katoa pasi kwa mtu wa kati sehemu waliyo dominate zaidi prisons
Prison wanatumia sana counter attacks huyo mhilu Leo kasumbua sana
 
Nakumbuka enzi ya Aussems, ilikuwa Simba akifungwa mechi moja au ku draw basi next game kocha atabadilisha mfumo, anaweza mpanga mchezaji mmoja juu ya mabeki ili kuongeza ulinzi, na Kennedy Juma alikuwa anatumika zaidi kwenye hili.

Lakini huyu kocha wetu wa sasa hajui kuiona hatari na kuifanyia kazi mapema, hizi counter wanazopiga hawa jamaa ni wazi anatakiwa mtu wa kusimama juu ya mabeki asipande, kazi yake iwe kuzima haya mashambulizi ya kushtukiza ya hawa jamaa, lakini naona kocha yupo tu, akili yake yote kushambulia, then tukifungwa aanze ku panic .
 
Hawa jamaa hawana mpango wa kumiliki mpira hivyo atoke Nyoni aingie Morrison Kisha Muzamiru arudi chini kucheza SITA Kisha Bwalya atoke aingie Mugalu tuwe na watu wawili kwenye Box itasaidia.

Morrison Hayupo
 
Back
Top Bottom