OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Walivyomtaja tu Kagere ukajua Mugalu yupo nje 😀. Nyie jamaa nyie!Yap now nimewasha redio nimesikia hapa wanamtaja kagere
Usiwe na hofu na Kagere, atatumbukiza goli tu!Daah Kagere vipi tena
Man City umeliwaHasanteni vijana wa Msibazi hii game leo niliibetia over 1.5 hivyo nishafunga mahesabu. Bado Man city
Muda bado kaka.Man City umeliwa
Daah, hesabu imeshafungwa. Betting raha buanaa!Daah, Simba wekeni la tatu, mkeka niliuweka over 2.5