3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Hao mtibwa waliongea mbovu sana kipindi anamfunga Simba fainali ya Mapinduzi Zenji, ngoja leo apigwe za kutosha ili ashuke vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah, hesabu imeshafungwa. Bado mahali fulani
TayariUsiwe na hofu na kagere, atatumbukiza goli tu!
[emoji28][emoji28]Muda bado kaka.
City ananipa over 1.5 bila presha na nimeweka mke leo.
Tayari kambaDaah, Simba wekeni la tatu, mkeka niliuweka over 2.5
Asante sana, huyu mtu anajua goli hadi basiTayari
TayariDaah, Simba wekeni la tatu, mkeka niliuweka over 2.5
Hata walivyotoa draw round 1 waliongea sanaHao mtibwa waliongea mbovu sana kipindi anamfunga Simba fainali ya Mapinduzi zenji, ngoja leo apigwe za kutosha ili ashuke vizuri
Huyu Kagere makali yake yapo ligi kuu tu, kule kwenye ligi ya wakubwa anakuwa kama SaporngKagereeeeeeeee Simba 3
Huwa nasikitika sana anavyokuwa benchAsante sana, huyu mtu anajua goli hadi basi
Wewe timu gani humuHuyu Kagere makali yake yapo ligi kuu tu, kule kwenye ligi ya wakubwa anakuwa kama Saporng
Kule hajapewa nafasi kama anayopewa Mugalu.Huyu Kagere makali yake yapo ligi kuu tu, kule kwenye ligi ya wakubwa anakuwa kama Saporng
Mimi napendekeza simba ianze upya bila goli halafu Mtibwa waanze kwa kuongoza kwa goli mbiliTufanye hivi goli tatu zote za Simba tuzifute,Simba waanze upya kipindi cha pili.
Kipindi cha pili kikianza itakua Simba 0 Vs 0 Mtibwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtibwa wakate rufaa Simba wanacheza kama wako champion league badala ya kucheza kama wako vpl
Kuwa na heshima kwa Kagere mkuu, usimchukulie poa huyu mnyama, ni beastHuyu Kagere makali yake yapo ligi kuu tu, kule kwenye ligi ya wakubwa anakuwa kama Saporng