Simba 8-0 Yanga kipigo loading...

Mechi ingepangwa september au October, hii ingewahusu but kwa January watakuwa tayari na muuganiko mzuri
 
Ni mazishi tu safari hii hata 10 zinawahusu sana tu yaani Simba is next level.
 
tunatamani kuwafunga Yanga ,lakini si kwa utani huu! Yanga imesajili baadhi ya wachezaji wa wazuri si wa kubeza kihivyo....mimi ni Simba wa damu,ila tusiwabeze sana wenzetu,kama kweli tunajua Soka.
 
Mashabiki wa Simba kakote Tanzania hatuna mentality hiyo...Mshabiki wa Simba ni mshindi mda wote hata matokeo katili ya mpira ya kitokea ila Mshabiki wa Simba huwa anaamini ushindi pekee anapokutana dhidi ya yanga
 
Yanga hii ya wana mitindo akina Malingo......Kazi ipo msimu huu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Simba iliyoteseka miaka 5 dahali
Mashabiki wa Simba kakote Tanzania hatuna mentality hiyo...Mshabiki wa Simba ni mshindi mda wote hata matokeo katili ya mpira ya kitokea ila Mshabiki wa Simba huwa anaamini ushindi pekee anapokutana dhidi ya yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…