Simba 8-0 Yanga kipigo loading...

Simba 8-0 Yanga kipigo loading...

Joined
Jul 31, 2015
Posts
85
Reaction score
9
Achana na kile kipigo cha 5-0 hiki kinachokuja kinafurahisha tuvute subira
FB_IMG_15661187041977165.jpeg
 
Mechi ingepangwa september au October, hii ingewahusu but kwa January watakuwa tayari na muuganiko mzuri
 
Ni mazishi tu safari hii hata 10 zinawahusu sana tu yaani Simba is next level.
 
tunatamani kuwafunga Yanga ,lakini si kwa utani huu! Yanga imesajili baadhi ya wachezaji wa wazuri si wa kubeza kihivyo....mimi ni Simba wa damu,ila tusiwabeze sana wenzetu,kama kweli tunajua Soka.
 
Mashabiki wa Simba kakote Tanzania hatuna mentality hiyo...Mshabiki wa Simba ni mshindi mda wote hata matokeo katili ya mpira ya kitokea ila Mshabiki wa Simba huwa anaamini ushindi pekee anapokutana dhidi ya yanga
 
Yanga hii ya wana mitindo akina Malingo......Kazi ipo msimu huu 😀 😀 😀 😀 😀
 
Simba iliyoteseka miaka 5 dahali

Back
Top Bottom