Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
EmesusaHuyu boya atuachie timu yetu bora kula maharage kuliko kuku wa kusimangwa
Timu inayomilikiwa na Tajiri namba moja Tanzania billionaire/trillionnaire Mohammed a.k.a mudy dewji, club hicho chenye utajiri wa kutisha ambao mwanzoni wa msimuu huu waliingia mkataba na mbet wa kiasi Cha billion 26 kwa Sasa wanatumia usafiri coaster na sio ndege kama kipindi Cha nyuma
View attachment 2454528
Kwa akili za uto wanajua b 26 zinatoka kwa pamoja aiseeWatu walisema ule mkataba wa bil 26 ni uongo, kipo wapi sasa
Ko hata kagera walienda na coaster??ukiwa yanga unakuwa juha automatically