Simba a.k.a wazee wa coaster

Simba a.k.a wazee wa coaster

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Timu inayomilikiwa na Tajiri namba moja Tanzania billionaire/trillionnaire Mohammed a.k.a mudy dewji, club hicho chenye utajiri wa kutisha ambao mwanzoni wa msimuu huu waliingia mkataba na mbet wa kiasi Cha billion 26 kwa Sasa wanatumia usafiri coaster na sio ndege kama kipindi Cha nyuma
 
View attachment 2454528

Watu walisema ule mkataba wa bil 26 ni uongo, kipo wapi sasa
 
Matokeo yao Uwanjani hawapaswi panda ndege.
 
Ko hata kagera walienda na coaster??ukiwa yanga unakuwa juha automatically
 
Back
Top Bottom