georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Nawatahadhirisha simba waachane na Nabi na Kishingo. Hawa makocha hawana jipya la kuiokoa simba kucheza relegation playoff.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na hoja.Nawatahadhirisha simba waachane na Nabi na Kishingo. Hawa makocha hawana jipya la kuiokoa simba kucheza relegation playoff.
Mkuu mambo mengine tuwe tunafanya kama watu wazima tuliokomaa.
1 . Far Rabat inaongoza ligi ya moroko.
2. Nabi anaongoza ligi ya moroko.
3. Nabi analipwa Fedha nyingi zaidi huko Morocco.
4. Nabi hawezi kuja Tanzania kuifundisha simba
-Ana mapenzi sana na yanga.
-Yupo karibu sana na viongozi wa yanga.
-
VIONGOZI WA SIMBA SI WAPUMBAVU KIASI HICHO JAPO WENGI NI WAJINGA.
Tulia mzee wa mwiko