rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji.
Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe.
Wakati huu wa mapumziko y no wakati wa kufanya usajili kwenye sehemu zenye. Mapungufu na kutengeneza timu, mashindano ya mapinduzihayaipeleki timu sehemu yoyote. Wala hakuna zawadi za maana na hata Simba wakitwaa Hilo kombe hawapati chochote.