rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kwann??Simba ni ngumu kufanya vizuri Yanga wakiwa vizur
Si mlishawaomba msamaha wachezaji? Nini tena mnataka?Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji. Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe. wakati huu wa mapumziko y no wakati wa kufanya usajili kwenye sehemu zenye.mapungufu na kutengeneza timu, mashindano ya mapinduzihayaipeleki timu sehemu yoyote. Wala hakuna zawadi za maana na hata Simba wakitwaa Hilo kombe hawapati chochote.
Wanarogwa alisema Dalali!Kwann??
kwa Yanga hii chini ya Eng. Hersi kufanya vibaya ni ndoto inamaana Simba itaendelea kudhalilika ?Simba ni ngumu kufanya vizuri Yanga wakiwa vizur
Kuna nyuzi humu na comments mbalimbali za mashabiki wa Simba wakisifia kocha na wachezaji kuwa wamebadilika mno kiuchezaji na kusema wanaona mwelekeo mzuri hasa baada ya mechi ya Galaxy, mechi mbili na Wydad na ile ya Kagera.Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji. Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe. wakati huu wa mapumziko y no wakati wa kufanya usajili kwenye sehemu zenye.mapungufu na kutengeneza timu, mashindano ya mapinduzihayaipeleki timu sehemu yoyote. Wala hakuna zawadi za maana na hata Simba wakitwaa Hilo kombe hawapati chochote.