kamandaMzeemkavu
Member
- Jul 29, 2021
- 21
- 78
MASHABIKI WA SIMBA MNAMKOSEA MANGUNGU.
Kati ya dhambi ambayo wanasimba lazima itawatafuna ni hii ya kumnanga huyu mzee baada ya matokeo mabovu ya simba,tuwe wakweli tu mangungu Kazi yake ni nini simba? Usajili? Kulipa wachezaji? Kucheza? Kufundisha timu?
USAJILI.
Katika usajili kosa la mangungu ni kumleta manzoki siku ya uchaguzi na kuitumia kama kiki ya kushinda na akashinda uchaguzi,Tuambiwe sasa nyie mnaolalamika kafanya usajili gani mbovu hapo simba na je ni yeye anaepaswa kusajili?Kifupi ni kuwa mangungu hajasajili mchezaji yoyote pale simba maana yeye ni msimamizi wa Hisa za wanachama 51% na sio vinginevyo mnapomlaumu mnamkosea huyu mzee wawatu,waliosajili wachezaji ni Try again,Mo na jopo lake wanaomiliki hisa asilimia 49.Mangungu ndio kamsajili Miquison?kamsajili Onana?kamsajili Nani huyu mangungu mnaomlaumu na kutaka ajiuzulu?Muache propaganda za kitoto na kumuonea mzee wawatu hii sio Haki kama kosa ni la Uongozi mbona hao wanahisa 49% hamuwahoji?mnawaogopa au hawapaswi kuhojiwa? Mnakumbuka AFL kipindi wanatambulisha viongozi Mangungu why hajatambulishwa akatamvulishwa Mo na akakaa karibu na Viongozi wa Fifa Na Caf kwaiyo Mangungu mnamuona Kipindi simba imepoteza Tu?
KULIPA WACHEZAJI,KUCHEZA,KUFUNDISHA TIMU
Mangungu hahusiki kwenye kulipa wachezaji anahusika Mo na kundi lake lenye hisa 49% kuwalipa wachezaji bonus zao,kuna mchezaji huwa anapangwa kwa shida san japo anajua kufunga kisa akifunga na kutoa assist anadai bonus kama mlivokubaliana kwenye mkataba na Viongozi wa Mo mnakataa asiwe anapangwa mbona Hilo hamsemi mmekalia mangungu tu,Mbona hamsemi kuhusu uvivu wa wachezaji wenu kukaba pindi wanaposhambuliwa mmekalia mangungu tu na kelele nyingi,mbona hamuongei kuhusu Billion 20 anazosema Mo amewekeza kwenye timu na kalipa lini na akaunti gani? Mbona hamuhoji kuhusu mapato na matumizi ya timu yenu kwa msimu,IVI HAYO YOTE NI MANGUNGU TU ATAKUA AMEFANYA? KUNA LAANA MTAIPATA KWA UYU MZEE NA MNAMUONEA KISA MO ANATAKA AFANYE JAMBO LAKE KWENYE TIMU NA NIWAAMBIE TU HATA MANGUNGU AKIONDOKA LAZIMA MTALIPA GHARAMA YA UONEVU NA LAWAMA MNAZOMPA ZA UONGO KABISA.MKISHINDA MANGUNGU HAHUSIKI ILA MKIFUNGWA MANGUNGU NDIO MUHUSIKA ACHENI UONEVU NYIE MASHABIKI WA SIMBA.Nani alomleta kipa Lakred yule mwarabu ? Ni mangungu? Mbona hamsemi ilo na Je ivi uyo Ayubu ni bora kuliko makipa Tulionao nchini?Hii ni fedheha kwa club yenu na inaakisi kiwango cha fikra cha mashabiki wa simba bado kipo chini na kwa akili zenu hizo itachukua muda Sana mfanikiwe maana mmewekeza kwenye majungu na Fitna.