Simba acheni kumuonea Mangungu

Simba acheni kumuonea Mangungu

Joined
Jul 29, 2021
Posts
21
Reaction score
78
MASHABIKI WA SIMBA MNAMKOSEA MANGUNGU.
Kati ya dhambi ambayo wanasimba lazima itawatafuna ni hii ya kumnanga huyu mzee baada ya matokeo mabovu ya simba,tuwe wakweli tu mangungu Kazi yake ni nini simba? Usajili? Kulipa wachezaji? Kucheza? Kufundisha timu?

USAJILI.
Katika usajili kosa la mangungu ni kumleta manzoki siku ya uchaguzi na kuitumia kama kiki ya kushinda na akashinda uchaguzi,Tuambiwe sasa nyie mnaolalamika kafanya usajili gani mbovu hapo simba na je ni yeye anaepaswa kusajili?Kifupi ni kuwa mangungu hajasajili mchezaji yoyote pale simba maana yeye ni msimamizi wa Hisa za wanachama 51% na sio vinginevyo mnapomlaumu mnamkosea huyu mzee wawatu,waliosajili wachezaji ni Try again,Mo na jopo lake wanaomiliki hisa asilimia 49.Mangungu ndio kamsajili Miquison?kamsajili Onana?kamsajili Nani huyu mangungu mnaomlaumu na kutaka ajiuzulu?Muache propaganda za kitoto na kumuonea mzee wawatu hii sio Haki kama kosa ni la Uongozi mbona hao wanahisa 49% hamuwahoji?mnawaogopa au hawapaswi kuhojiwa? Mnakumbuka AFL kipindi wanatambulisha viongozi Mangungu why hajatambulishwa akatamvulishwa Mo na akakaa karibu na Viongozi wa Fifa Na Caf kwaiyo Mangungu mnamuona Kipindi simba imepoteza Tu?

KULIPA WACHEZAJI,KUCHEZA,KUFUNDISHA TIMU
Mangungu hahusiki kwenye kulipa wachezaji anahusika Mo na kundi lake lenye hisa 49% kuwalipa wachezaji bonus zao,kuna mchezaji huwa anapangwa kwa shida san japo anajua kufunga kisa akifunga na kutoa assist anadai bonus kama mlivokubaliana kwenye mkataba na Viongozi wa Mo mnakataa asiwe anapangwa mbona Hilo hamsemi mmekalia mangungu tu,Mbona hamsemi kuhusu uvivu wa wachezaji wenu kukaba pindi wanaposhambuliwa mmekalia mangungu tu na kelele nyingi,mbona hamuongei kuhusu Billion 20 anazosema Mo amewekeza kwenye timu na kalipa lini na akaunti gani? Mbona hamuhoji kuhusu mapato na matumizi ya timu yenu kwa msimu,IVI HAYO YOTE NI MANGUNGU TU ATAKUA AMEFANYA? KUNA LAANA MTAIPATA KWA UYU MZEE NA MNAMUONEA KISA MO ANATAKA AFANYE JAMBO LAKE KWENYE TIMU NA NIWAAMBIE TU HATA MANGUNGU AKIONDOKA LAZIMA MTALIPA GHARAMA YA UONEVU NA LAWAMA MNAZOMPA ZA UONGO KABISA.MKISHINDA MANGUNGU HAHUSIKI ILA MKIFUNGWA MANGUNGU NDIO MUHUSIKA ACHENI UONEVU NYIE MASHABIKI WA SIMBA.Nani alomleta kipa Lakred yule mwarabu ? Ni mangungu? Mbona hamsemi ilo na Je ivi uyo Ayubu ni bora kuliko makipa Tulionao nchini?Hii ni fedheha kwa club yenu na inaakisi kiwango cha fikra cha mashabiki wa simba bado kipo chini na kwa akili zenu hizo itachukua muda Sana mfanikiwe maana mmewekeza kwenye majungu na Fitna.
 
Afukuzwe huyo takataka,waaomtetea mitandaoni ni wadau wayanga ili aachwe aendelee kutumika na yanga..yeye ndio anatakiwa alaaniwe .
 
Swali la kizushi , hiyo 51% inayo simamiwa na mwenyekiti ni kiasi gani na inafanya nini?
Nani anapanga timu na kwenda kwa waganga?
 
Mnakumbuka AFL kipindi wanatambulisha viongozi Mangungu why hajatambulishwa akatamvulishwa Mo na akakaa karibu na Viongozi wa Fifa Na Caf kwaiyo Mangungu mnamuona Kipindi simba imepoteza Tu?
Hapa Mhindi alifanya hacking ya uongozi 🤣 🤣 🤣
 
Kosa moja Simba wamefanya ni kukaribisha wanasisasa na siasa iendeshe timu. Haya mambo tulikuwa tunayaona Yanga ila sasa hivi Simba imeshaambukizwa hizo takataka.

Kuna wakati nilipinga vikali picha na mabango ya Rais kuletwa katika mechi za Simba nikasema kuna siku yatakuja mabango msiyoyapenda nikaonekana mjinga, jana kuna watu wamekamatwa kwa kubeba mabango uwanjani kisa yana ujumbe usiowaridhisha viongozi.

Mangungu hata kama hana nguvu katika Bodi bado yeye ndiye msimamizi wa maslahi ya wanachama. Kama mambo yanaenda ndivyo sivyo katika Bodi au Utawala wa klabu ni jukumu lake kukemea.

Kitendo cha kumleta Manzoki kinaashiria anahusika katika michakato ya usajili. Simba bado unafuata style za zamani za watu binafsi ndani na nje ya bodi kununua na kuleta wachezaji na wengine kujipa au kupewa majukumu ya kulipa mishahara au posho nje ya utaratibu rasmi wa klabu. Hii inasababisha watu wakimbilie wachezaji wenye majina makubwa ili waonekane kweli wamesajili bila kuangalia mahitaji hasa ya timu na viwango vya hao wachezaji. Matokeo yake pia ni viongozi binafsi wanamiliki wachezaji. Hata Mo kulipia gharama za usajili ni utaratibu wa kizamani na wa hovyo.
 
MASHABIKI WA SIMBA MNAMKOSEA MANGUNGU.
Kati ya dhambi ambayo wanasimba lazima itawatafuna ni hii ya kumnanga huyu mzee baada ya matokeo mabovu ya simba,tuwe wakweli tu mangungu Kazi yake ni nini simba? Usajili? Kulipa wachezaji? Kucheza? Kufundisha timu?

USAJILI.
Katika usajili kosa la mangungu ni kumleta manzoki siku ya uchaguzi na kuitumia kama kiki ya kushinda na akashinda uchaguzi,Tuambiwe sasa nyie mnaolalamika kafanya usajili gani mbovu hapo simba na je ni yeye anaepaswa kusajili?Kifupi ni kuwa mangungu hajasajili mchezaji yoyote pale simba maana yeye ni msimamizi wa Hisa za wanachama 51% na sio vinginevyo mnapomlaumu mnamkosea huyu mzee wawatu,waliosajili wachezaji ni Try again,Mo na jopo lake wanaomiliki hisa asilimia 49.Mangungu ndio kamsajili Miquison?kamsajili Onana?kamsajili Nani huyu mangungu mnaomlaumu na kutaka ajiuzulu?Muache propaganda za kitoto na kumuonea mzee wawatu hii sio Haki kama kosa ni la Uongozi mbona hao wanahisa 49% hamuwahoji?mnawaogopa au hawapaswi kuhojiwa? Mnakumbuka AFL kipindi wanatambulisha viongozi Mangungu why hajatambulishwa akatamvulishwa Mo na akakaa karibu na Viongozi wa Fifa Na Caf kwaiyo Mangungu mnamuona Kipindi simba imepoteza Tu?

KULIPA WACHEZAJI,KUCHEZA,KUFUNDISHA TIMU
Mangungu hahusiki kwenye kulipa wachezaji anahusika Mo na kundi lake lenye hisa 49% kuwalipa wachezaji bonus zao,kuna mchezaji huwa anapangwa kwa shida san japo anajua kufunga kisa akifunga na kutoa assist anadai bonus kama mlivokubaliana kwenye mkataba na Viongozi wa Mo mnakataa asiwe anapangwa mbona Hilo hamsemi mmekalia mangungu tu,Mbona hamsemi kuhusu uvivu wa wachezaji wenu kukaba pindi wanaposhambuliwa mmekalia mangungu tu na kelele nyingi,mbona hamuongei kuhusu Billion 20 anazosema Mo amewekeza kwenye timu na kalipa lini na akaunti gani? Mbona hamuhoji kuhusu mapato na matumizi ya timu yenu kwa msimu,IVI HAYO YOTE NI MANGUNGU TU ATAKUA AMEFANYA? KUNA LAANA MTAIPATA KWA UYU MZEE NA MNAMUONEA KISA MO ANATAKA AFANYE JAMBO LAKE KWENYE TIMU NA NIWAAMBIE TU HATA MANGUNGU AKIONDOKA LAZIMA MTALIPA GHARAMA YA UONEVU NA LAWAMA MNAZOMPA ZA UONGO KABISA.MKISHINDA MANGUNGU HAHUSIKI ILA MKIFUNGWA MANGUNGU NDIO MUHUSIKA ACHENI UONEVU NYIE MASHABIKI WA SIMBA.Nani alomleta kipa Lakred yule mwarabu ? Ni mangungu? Mbona hamsemi ilo na Je ivi uyo Ayubu ni bora kuliko makipa Tulionao nchini?Hii ni fedheha kwa club yenu na inaakisi kiwango cha fikra cha mashabiki wa simba bado kipo chini na kwa akili zenu hizo itachukua muda Sana mfanikiwe maana mmewekeza kwenye majungu na Fitna.
Nadhani unatatizo kama hujui mangngu yupo hapo kwa kazi gani!
Sie wanachama na wapenzi wa Simba tunajua yeye ndiye anasimamia maslahi yetu pale club.
Kama kwa namna yoyote anaona kuna ubabaishaji hapaswi kukaa kimya.Atuambie ili tuchukue hatua.
Huyu ana dharau tangu alipomleta Manzoki kwenye uchaguzi.Pia ni mwanasiasa na hana ajualo kuhusu Mpira.
Kama unampenda nenda naye kwako.
Hapo tumeanza tu...next ni huyo mo.
Ni bora Simba ishuke daraja ianze upya kuliko kuwa na mwekezaji muhuni kama huyu.
Timu inapata pesa lakini tunadanganywa ati kipa amesajiliwa kwa bilioni 3.
Ninyi mnaofaidika na huu ujinga tuacheni tuamue wenyewe

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
MASHABIKI WA SIMBA MNAMKOSEA MANGUNGU.
Kati ya dhambi ambayo wanasimba lazima itawatafuna ni hii ya kumnanga huyu mzee baada ya matokeo mabovu ya simba,tuwe wakweli tu mangungu Kazi yake ni nini simba? Usajili? Kulipa wachezaji? Kucheza? Kufundisha timu?

USAJILI.
Katika usajili kosa la mangungu ni kumleta manzoki siku ya uchaguzi na kuitumia kama kiki ya kushinda na akashinda uchaguzi,Tuambiwe sasa nyie mnaolalamika kafanya usajili gani mbovu hapo simba na je ni yeye anaepaswa kusajili?Kifupi ni kuwa mangungu hajasajili mchezaji yoyote pale simba maana yeye ni msimamizi wa Hisa za wanachama 51% na sio vinginevyo mnapomlaumu mnamkosea huyu mzee wawatu,waliosajili wachezaji ni Try again,Mo na jopo lake wanaomiliki hisa asilimia 49.Mangungu ndio kamsajili Miquison?kamsajili Onana?kamsajili Nani huyu mangungu mnaomlaumu na kutaka ajiuzulu?Muache propaganda za kitoto na kumuonea mzee wawatu hii sio Haki kama kosa ni la Uongozi mbona hao wanahisa 49% hamuwahoji?mnawaogopa au hawapaswi kuhojiwa? Mnakumbuka AFL kipindi wanatambulisha viongozi Mangungu why hajatambulishwa akatamvulishwa Mo na akakaa karibu na Viongozi wa Fifa Na Caf kwaiyo Mangungu mnamuona Kipindi simba imepoteza Tu?

KULIPA WACHEZAJI,KUCHEZA,KUFUNDISHA TIMU
Mangungu hahusiki kwenye kulipa wachezaji anahusika Mo na kundi lake lenye hisa 49% kuwalipa wachezaji bonus zao,kuna mchezaji huwa anapangwa kwa shida san japo anajua kufunga kisa akifunga na kutoa assist anadai bonus kama mlivokubaliana kwenye mkataba na Viongozi wa Mo mnakataa asiwe anapangwa mbona Hilo hamsemi mmekalia mangungu tu,Mbona hamsemi kuhusu uvivu wa wachezaji wenu kukaba pindi wanaposhambuliwa mmekalia mangungu tu na kelele nyingi,mbona hamuongei kuhusu Billion 20 anazosema Mo amewekeza kwenye timu na kalipa lini na akaunti gani? Mbona hamuhoji kuhusu mapato na matumizi ya timu yenu kwa msimu,IVI HAYO YOTE NI MANGUNGU TU ATAKUA AMEFANYA? KUNA LAANA MTAIPATA KWA UYU MZEE NA MNAMUONEA KISA MO ANATAKA AFANYE JAMBO LAKE KWENYE TIMU NA NIWAAMBIE TU HATA MANGUNGU AKIONDOKA LAZIMA MTALIPA GHARAMA YA UONEVU NA LAWAMA MNAZOMPA ZA UONGO KABISA.MKISHINDA MANGUNGU HAHUSIKI ILA MKIFUNGWA MANGUNGU NDIO MUHUSIKA ACHENI UONEVU NYIE MASHABIKI WA SIMBA.Nani alomleta kipa Lakred yule mwarabu ? Ni mangungu? Mbona hamsemi ilo na Je ivi uyo Ayubu ni bora kuliko makipa Tulionao nchini?Hii ni fedheha kwa club yenu na inaakisi kiwango cha fikra cha mashabiki wa simba bado kipo chini na kwa akili zenu hizo itachukua muda Sana mfanikiwe maana mmewekeza kwenye majungu na Fitna.
Kuna miaka kuanzia 2011 sikumbuki mwaka hasa,ilitokea ajali ya boti iliyobeba wanafunzi huko S.Korea.

Ilikuwa hivi,nahodha alienda ku-chill na wanafunzi akaacha chombo kinajiendea hadi kikagonga mwamba na watu walikufa.

Cha kushangaza hasa mshangao upo huku kwetu,waziri anayehusika na masuala ya usafiri aliwajibika kwa kujiuzulu.

Swali,yeye ndo alimtuma nahodha kwenda ku-chill na wanafunzi?
 
Back
Top Bottom