Simba acheni kutapeli wapenzi wa timu kama ndio inasajili akina Ntibanzokiza

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kusema kweli kwa sasa timu haina washauri ma genius wa mpira.
Ni naona watu hawana mwelekeo,wanaenda Nigeria kusajili wakati si rahisi kupata mchezaji wa viwango vya juu kwa sasa kama huna hela.

Tuambieni ukweli kama Mo ameishiwa,timu apewe Mzee Bakhresa.Siyo timu inampa mwanamke nguvu ya maamuzi halafu anatuletea maamuzi ya kike na misimamo ya kijinga

Hii ni timu ya Mpira,sasa ukikosana na wachezaji wazuri halafu huna pesa ya kuvunja mikataba unasubiri utopolo waache mchezaji tena mwenye mapenzi hasa na timu yake,unatarajia nini?

Acheni utapeli eti usajili utashtua bara wakati wachezaji wazuri wanajulikana na huwezi kuwasajili kwa siri.
 
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi kubwa sana huko Yanga
 
MAKOLO tulia na haya madude yako. Uachane na MABINGWA.
images%20(15).jpg
 
Unalaumu wakati hata hujajua majembe gani yatatua Msimbazi.

Tulia, subiri zoezi lililoanza la kuwatambulisha Simba Queens wapya liishe, halafu baada ya hapo ndio utaijua nguvu ya Simba SC kwenye usajili.
 
Nguvu gani unayosema?
Wachezaji wakubwa hawajawahi kusajiliwa kwa siri.
Hapa ni uhuni tu unafanyika,timu haina hela,maana kuna ujinga wa kukataa udhamini lakini huku unataka utengeneze faida kwenye uwekezaji kwa kubania pesa za usajili.
 
Punguza povu kijana, usubiri wakati ufike.
 
Kuna wapumbavu wengi sana.
Yaani watu wanaoweka hela zao kwenye klabu wakitegemea faida wametulia, wewe mshabiki maandazi ndo ujifanye una uchungu Kushinda wanaoweka hela zao!!!
 
Screenshot_20220702-193621_Instagram.jpg

Mwamba huyo jamaa wa kushoto mpaka sasa kishawachukua wachezaji watatu ambao nyie mlikuwa mnawahitaji. Yusuph Bakheresa anaingia mwenyewe front, nyie mpaka mumpigie MO mjadiliane,wenzenu mda huo wanamalizana.
 
Unalaumu wakati hata hujajua majembe gani yatatua Msimbazi.

Tulia, subiri zoezi lililoanza la kuwatambulisha Simba Queens wapya liishe, halafu baada ya hapo ndio utaijua nguvu ya Simba SC kwenye usajili.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Nguvu gani unayosema?
Wachezaji wakubwa hawajawahi kusajiliwa kwa siri.
Hapa ni uhuni tu unafanyika,timu haina hela,maana kuna ujinga wa kukataa udhamini lakini huku unataka utengeneze faida kwenye uwekezaji kwa kubania pesa za usajili.
Unawalipa mishahara wachezaji hadi uumie kiasi hiki!?
 
Kuna wapumbavu wengi sana.
Yaani watu wanaoweka hela zao kwenye klabu wakitegemea faida wametulia, wewe mshabiki maandazi ndo ujifanye una uchungu Kushinda wanaoweka hela zao!!!
Mpuuzi wewe, wanapata wapi hiyo faida kama sio kwetu mashabiki?
 
Kusema kweli kwa sasa timu haina washauri ma genius wa mpira.
Ni naona watu hawana mwelekeo,wanaenda Nigeria kusajili wakati si rahisi kupata mchezaji wa viwango vya juu kwa sasa kama huna hela.

Tuambieni ukweli kama Mo ameishiwa,timu apewe Mzee Bakhresa.Siyo timu inampa mwanamke nguvu ya maamuzi halafu anatuletea maamuzi ya kike na misimamo ya kijinga

Hii ni timu ya Mpira,sasa ukikosana na wachezaji wazuri halafu huna pesa ya kuvunja mikataba unasubiri utopolo waache mchezaji tena mwenye mapenzi hasa na timu yake,unatarajia nini?

Acheni utapeli eti usajili utashtua bara wakati wachezaji wazuri wanajulikana na huwezi kuwasajili kwa siri.
Mpaka sasa Simba imetangaza mchezaji mmoja tu Moses Phiri , huyo Ntibazonkiza amesajiliwa Simba ipi? misukule ya Manara ina shida sana
 
Kusema kweli kwa sasa timu haina washauri ma genius wa mpira.
Ni naona watu hawana mwelekeo,wanaenda Nigeria kusajili wakati si rahisi kupata mchezaji wa viwango vya juu kwa sasa kama huna hela.

Tuambieni ukweli kama Mo ameishiwa,timu apewe Mzee Bakhresa.Siyo timu inampa mwanamke nguvu ya maamuzi halafu anatuletea maamuzi ya kike na misimamo ya kijinga

Hii ni timu ya Mpira,sasa ukikosana na wachezaji wazuri halafu huna pesa ya kuvunja mikataba unasubiri utopolo waache mchezaji tena mwenye mapenzi hasa na timu yake,unatarajia nini?

Acheni utapeli eti usajili utashtua bara wakati wachezaji wazuri wanajulikana na huwezi kuwasajili kwa siri.

Kwan neno “KUSHTUA” umelielewaje?? Ninachoamini kushtua kuna POSITIVELY na NEGATIVELY.
Ina maana usajili wa HABIB KYOMBO haujakushtua wewe…??? Mchezaji kutokea timu iliyoshuka daraja…!! Naamini umekushtua
 
Back
Top Bottom