Simba acheni uzungu, kuruhusu mashabiki waangalie mazoezi yenu dhidi ya Yanga ni kukaribisha nuksi

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Nimeona Simba wakiendelea na mazoezi yao pale bunju huku wakiruhusu mashabiki kujazana uwanjani, kule Avic Town kigamboni Yanga wamezuia habari hiyo ya mashabiki kuingia uwanjani.Mechi za Simba na Yanga zina mambo mengi nje ya uwanja, Simba tangu ihamie Bunju haijawahi kuifunga Yanga, sana sana droo au tunafungwa tunapocheza uwanja wa Taifa, mechi hizo wachezaji wetu wanazikwa makaburini, ndio maana akina chama, micquisone walikuwa wanashindwa kucheza vzr kila inapofika Derby, achaneni na mambo ya kizungu, mkifungwa na yanga mtawaudhi sana mashabiki wenu, yanga kwa mambo ya nje ya uwanja wako vzr mno, safari hii wameteua akina Seif Magari na Davis mosha kuwa katika kamati ya mashindano, mtaona ugumu wa mechi siku hiyo.
 
Sioni uhusiano wa mashabiki kushuhudia mazoezi na kufungwa na timu pinzani
 
Kuna mdau hapa JF alishaipigia kelele kila derby halafu tunafungwa au draw ,hata mbali na mambo ya nje ya uwanja kwanini mashushu wa timu pinzani waone mbinu zenu? Kwenye hao mashabiki lazima kutakuwa waliotumwa kurekodi mbinu za mchezo.

Simba kwenye hili wamekuwa wajinga ,hata kama ni modern football huwezi kubadili mbinu katikati ya mechi wakati adui anajua mbinu zako zote
 
Ili jambo lishaongelewa sana sijui ni kwanini ata uko duniani usiwasingizie wazungu ata Carrington pale Manchester amna mashabiki kwenye ule uwanja wa mazoezi na ata ukizunguka bara zima spain,germany,England sidhani kama kuna team inaruhusu mashabiki kwenye Mazoezi sijui Uongozi wa Simba unamaana gani ila iyo isiwe kisingizio cha kufungwa....!
 
Kuna mdau hapa JF alishaipigia kelele kila derby halafu tunafungwa au draw ,hata mbali na mambo ya nje ya uwanja kwanini mashushu wa timu pinzani waone mbinu zenu? Kwenye hao mashabiki lazima kutakuwa waliotumwa kurekodi mbinu za mchezo.

Simba kwenye hili wamekuwa wajinga ,hata kama ni modern football huwezi kubadili mbinu katikati ya mechi wakati adui anajua mbinu zako zote
Swadaktaaaaaa!!!

Tena kesho wasiruhusu kabisaa.
 
kuna mashabiki wa Uto wanajaribu maranyingi sana kurusha majini kwenye mazoezi ya Simba kwa kutumia uchawi wa macho na aina zingine za uchawi.
Simba kama hawataelewa basi waendelee kubisha,majeraha na vifungo kwa wacheza wa Simba havitaisha.
 
Mazoezi hayahusiani na mechi kamili mana mwl yupo kwajili ya mfumo

Sasa mtatumia uchawi mpaka lini
 
Huu upumbavu Simba wanaufanya sana ukisoma magazeti hada ya mwanaspoti kabla ya derby wanakutajia kikosi na formation anayotumia kocha mazoezini. Wasijifanye wao wazungu sana halafu baada ya mechi wanajifanya.kuomba radhi.
 
Nimeona Simba wakiendelea na mazoezi yao pale bunju huku wakiruhusu mashabiki kujazana uwanjani, kule Avic Town kigamboni Yanga wamezuia habari hiyo ya mashabiki kuingia uwanjani.Mechi za Simba na Yanga zina mambo mengi nje ya uwanja, Simba tangu ihamie Bunju haijawahi kuifunga Yanga, sana sana droo au tunafungwa tunapocheza uwanja wa Taifa, mechi hizo wachezaji wetu wanazikwa makaburini, ndio maana akina chama, micquisone walikuwa wanashindwa kucheza vzr kila inapofika Derby, achaneni na mambo ya kizungu, mkifungwa na yanga mtawaudhi sana mashabiki wenu, yanga kwa mambo ya nje ya uwanja wako vzr mno, safari hii wameteua akina Seif Magari na Davis mosha kuwa katika kamati ya mashindano, mtaona ugumu wa mechi siku hiyo.

Acha ushamba
 
Back
Top Bottom